Ngixolele Umoya
Senior Member
- Mar 26, 2017
- 108
- 142
Habari za wakati huu wana janvi,
Moja ya maswali ambayo nimewahi kukutana nayo, ni je kuna uhusiano wowote kati ya mapenzi na rangi ya vitu mbalimbali? Mwana saikolojia Dr. Edward de Bono anasema, Saikolojia ya rangi huathiri maisha ya watu katika nyanja mbalimbali ikiwemo mahusiano na mapenzi. Watu wengi wanaamini rangi nyekundu ndiyo rangi ya mapenzi, lakinini psychologically Red means, energy, strength, passion and excitement. Brown colour inamaanisha kuwa REAL.
Kwamfano; ukiwa na stress sana badala ya kwenda beach au kulewa, jaribu kwenda garden au tazama miti juu, automatically utajikuta una TABASAMU, kwasababu GREEN inamaanisha TIBA au HEALING, ndiyo maana mara nyingi kwenye operation room madaktari huvaa rangi ya kijani na sio nyeusi.
Inauma sana katika mapenzi unapo achwa na mtu unayempenda sana, na mbaya zaidi anapoamua kutoka kimapenzi na mtu wako wa karibu. Kwa muda mrefu wanamuziki wengi wamejaribu kugusia hisia zao juu ya mapenzi na namna wanvyoumizwa katika mapenzi, kupitia wimbo huu wa BROWN COLOUR ulioandikwa na HEMED PhD na kuimbwa na msanii Banye, umeirudisha tena ladha ya muziki wa R&B iliyopotea. Nimejaribu kuusikiliza wimbo huu na kuuelewa vizuri, kama unahisi na wewe umewahi kupitia huko tenga muda wako kuusikiliza wimbo huu.