Ilikuwaje mpaka ukasema ili neno TOO MUCH...

Ilikuwaje mpaka ukasema ili neno TOO MUCH...

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Habari wakuu..
Katika maisha unawezea pitia changamoto nyingi katika maisha yako ambazo uleta furaha na huzuni ilikuwaje ulifika point ya kusema ili neno TOO MUCH..

Kwa upande wangu nakumbuka kuna demu mmoja alinipenda sana na hakuna jambo niliowahi kumwambia bila kukaataa kiasi kwamba upendo wake ulikuwa too much...
 
Elezea mkuu?
Yaani kwa mfano kuna mtu fulani ana tabia ambazo wewe huzipendi, anazifanya wee unachukulia poa....sasa inafika kipindi unachoka kuvumilia na kuchukulia poa...ndio husema hii sasa TOO MUCH..

Pia kwa upande mwingine hutumika pale ambapo, mtu amefanya kitu kuzidi mipaka..la kushangaza furaha/huzuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom