Maua mazuri -DAR

Maua mazuri -DAR

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,118
Wadau,

Mchuchu birtdday inakaribia na sitakuwa naye karibu mimi nipo mikoani kama mnavosema na yeye yupo Dar.

Nataka nimfanyie suprise ya flowers hapo DSM. Hapendagi mambo ya keki. Maua mazuri tu ndio furaha yake


sasa je kwa Dar kuna duka/mtu anafanya delivery ? and kama una link yoyote nisaidieni iwe ista au facebook niweze kufanikisha hili

Natanguliza shukrani
 
Mpe salam za - happy birthday yake shemeji yetu.

Nil
 
Maua mazuri ni yale makaratasi mekundu yenye picha ya majengo pacha na tembo upande wa pili.
 
Mwanaume pesa maua pelekea nyuki[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️
 
hiyo atakuwa ananyota ya nyuki sio bure

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Tembelea namanga... baada ya American Embassy, kabla hujafika Edo Chips... kuna maduka ya maua... au shuka kituo cha mbuyuni kama unaelekea Saint Peters pia kuna maduka ya maua...


cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom