kuku_msela
Member
- Jun 12, 2017
- 10
- 24
Habari wakuu, ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na mihangaiko yenu ya hapa na pale.
Naomba niende kwenye mada,
Kiukweli mwanzo niliona punyeto kama mkombozi wangu wakati ndio nimeanza kubalehe na kujua kusimamisha, nilipelekwa sekondari za boarding o level na advance zote kiumeni, kama ilivyo kawaida, sehemu hizo punyeto ilikua kama wimbo wa taifa kila siku lazima uimbwe, kila siku nilikua naenda kutimiza wajibu na sera zetu za chaputa, mwanzo nilikua natumia sabuni nikaona inaniumiza, jamaa zangu wakaniambia nitumie losheni, hapo kila kitu kilibadilika, kiukweli nilikua addicted hasa baada ya kugundua losheni hainiumizi.
Punyeto ilikua sehemu ya maisha yangu, ilikua kama dozi kutwa x 3,, nilipokua nikirudi home likizo kama kawaida watoto walikua wakishoboka, (sijisifu but some how Mungu kanibariki u handsome boy) usumbufu ulipozidi nikawa nawakubalia, wapo pia niliokua nawatongoza mwenyewe kwa kufuata vigezo vyangu, chura + rangi nyeupe, katika mission zangu ilikua mara chache sana mwanamke kunikataa.
Kila mahusiano niloyokuepo, nilitia muhuri, I mean nilikula papuchi, mechi nilikua napiga tu fresh adi demu analizika, tatizo lilikua linakuja nikisha piga bao tu, naanza kumchukia yule mwanamke haijalishi awe mzuri kiasi gani, naona ni kama nimeisaliti punyeto na chaputa kiujumla.
Hii hali inaendelea kunitesa mpaka sasa, sijaacha punyeto 100% but now nimepunguza kwa mwezi naweza piga mara 1 ikizidi sana haivuki 3 , nimejaribu kuji keep busy ili hali hiyo iondoke lakini wapi, kila mtoto nnaekua nae kwenye mahusiano tuna enjoy mwanzo tu, lakini baadae anaona kama simjali, sababu ya punyeto, naona kama kua karibu na mwanamke na kumjali sana ni kupoteza muda, sijui kumpa ela au kumgharamia na kusimamia show kimtindo naona ya nini kufanya hivyo wakati sweet mangi nyeto yupo.
Now nimepata mwanamke mrembo wa kutosha, tupo kwenye mahusiano mwezi wa 4 huu lakini keshanichoka, anaona simjali wala sionyeshi dalili kumpenda, ananivumilia tu kwa sababu na yeye kanipenda, kama nilivyosema awali, naye toka anipe papuchi naona kama namchukia sijui kwa sababu hali hii inanitokea, kiukweli nampenda sana lakini nahisi punyeto isha ni athiri kisaikolojia maana kila mwanamke naekua naye, hata asipo nipa papuchi swala tu niwe nae kwenye mahusiano nahisi kumchukia
Tafadhali wakuu naombeni sana msaada wenu hii hali inanichosha sana, najuta sana kupiga punyeto kwa muda wangu wote wa sekondari miaka 6 from form 1-6,, kuna muda niliianza kupoteza adi uwezo wa kupiga mechi lakini nashukuru Mungu niliishinda hio hali kwa kupunguza nyeto na kuanza kula vizuri na kupiga tizi.
Huyu mpenzi wangu wa sasa nampenda sana, nashukuru Mungu nina kazi nzuri, usafiri wangu, nyumba yangu, kitu kilichobaki ni kuvuta jiko na kuanzisha familia, lakini kwa bahati mbaya hali hii ya kuwachukia wanawake imekua kikwazo kwangu.
Naonbeni ushauri wenu wakuu, najua humu kuna watu tofauti tofauti, madaktari, wanasaikolojia, wenzangu na mimi walopitia hali kama hii.
Pia naomba niwashauri wenzangu wa chaputa, tujaribuni sana kuepuka huu mchezo, mwanzo ni shangwe lakini madhara yake utayaona mbeleni.
*nawasilisha wakuu