Asilimia kubwa ya wanawake walio katika uhusiano au ndoa wanabakwa na kuridhia

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,054
2,000
Asilimilia kubwa ya wanawake hawafahamu au hupata raha ya tendo la ndoa mara chache sana katika kila mara wanazofanya. Na wengi wanasema hii hutokana na mambo kadhaa likiwepo la;

1. Kutoandaliwa vizuri kimwili na kisaikolojia.

2. Kutokuwa na hisia na mtu anayefanya naye.

3. Ubabe wa wanaume hasa wanaodhani kufanya muda mrefu sana au kuwa na uume mkubwa sana inatosheleza.

4. Wanaume kuwa wabinafsi kumaliza mapema au kutokuwa na mahaba wakati wa tendo lenyewe.

Wengi wamekuwa wakifanya kuwaridhisha wanaume na wanahisi kuwa tendo hili ni maalum kwa ajili ya kuwapa raha wanaume. Na ndo maana wao wanaishia kupenda starehe nyinginezo na mitoko huku waki offer tendo hilo in exchange.

Wanaume wengi kwa sasa wamekuwa wakihangaika na kuongeza maumbile na dawa za kurefusha muda. Wastani wa mwanamke aliyeandaliwa vizuri kufikia mshindo ni dk 2- 10 wanasema zinapozidi sana huwa wanafanya kumridhisha tu mwanaume na kutoa sauti za kimahaba fake.

Wanasema asilimia kubwa ya wanaume wameathirika na mapenzi ya porno videos. Hivyo wamepoteza mahaba wamejikita kwenye muda zaidi na maumbile makubwa sana kuliko tendo lenyewe kuwa la kimahaba na kushibana.

Wito wangu: Tuzidi kushirikiana wanaume katika kupeana taarifa za kusaidiana katika mambo haya ya mahusiano na kujenga uchumi. Tuwapende wanawake na pia kuwachukulia kama ni kitu cha thamani na delicate sana. Tuache kuwabaka.
 
silasc

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
3,354
2,000
3. Ubabe wa wanaume hasa wanaodhani kufanya muda mrefu saaaana au kuwa na uume mkubwa sana inatosheleza.
Hii dhana ndio huwa inaonyesha kama msemaji anafahamu vizuri kumridhisha mwanamke au la. Mbona huwa hamsemi mtu mwenye uume mkubwa na anafanya muda mrefu kwa ufundi performance yake inakuwaje?!

Size matters...
 
Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,054
2,000
Silasc sikupenda niweke maneno yangu kabisa. Nmeongea nao na nimetumia majibu yao na maneno yao si yangu. Kwa hiyo sikatai hoja yako na wapo watakao kuja kukubaliana nawe.

Ila mimi nimeandika ambacho nmekipata toka kwao sijaongeza sijapunguza na hisia zangu nmeziweka pemben kabisa.

Hii dhana ndio huwa inaonyesha kama msemaji anafahamu vizuri kumridhisha mwanamke au la. Mbona huwa hamsemi mtu mwenye uume mkubwa na anafanya muda mrefu kwa ufundi performance yake inakuwaje?!

Size matters...
 
mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
22,110
2,000
Ni kweli asee Kuna married women hapa majirani wananipaga baadhi ya michapo ya ndani mwao

Eti unakuta muda mwingine mwanamke hana hisia hata chembe wakati huo mume kadindaaaaa yani mke yupo tu kapanua ilimradi mwanaume kakazana tu kusokomeza mwanamke anadiriki kusema kabisa eti unaona misuli imemdimamaa wakati mimi haaaaaaaaaaaaaaaa dahhhhhhhhhhh.. Inasikitisha sana

Mahondaw wa Smart911
 
LadyAJ

JF-Expert Member
Oct 21, 2015
7,146
2,000
Ni kweli ila kwa kua ndoa tumezifuata wenyewe na tunafahamu fika lengo la mwanaume wa kiafrika kuoa ni kua na uhakika wa ngono pale anapoitaka yeye, basi hatuna budi kuitikia wajibu wetu hata kama hatupo kwenye hali ya kufurahia watakacho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,974
2,000
Huu ni utafiti nliufanya kwa kuongea na wanawake100 leo nmekamilisha wa 100. Asilimilia 75 hawafaham au hupata raha ya tendo la ndoa mara chache sana katika kila mara wanazofanya. Na wengi wanasema hii hutokana na mambo kadhaa likiwepo la
1. Kutoandaliwa vizuri kimwili na kisaikolojia.

2. Kutokuwa na hisia na mtu anayefanya naye

3. Ubabe wa wanaume hasa wanaodhani kufanya muda mrefu saaaana au kuwa na uume mkubwa sana inatosheleza.

4. Wanaume kuwa wabinafsi kumaliza mapema au kutokuwa na mahaba wakati wa tendo lenyewe.

Wengi wamekuwa wakifanya kuwaridhisha wanaume na wanahisi kuwa tendo hili ni maalum kwa ajili ya kuwapa raha wanaume. Na ndo maana wao wanaishia kupenda starehe nyinginezo na mitoko huku waki offer tendo hilo in exchange.

Wanaume wengi kwa sasa wamekuwa wakihangaika na kuongeza maumbile na dawa za kurefusha muda. Wastani wa mwanamke aliyendaliwa vizuri kufikia mshindo ni dk 2- 10 wanasema zinapozid sanaa huwa wanafanya kumridhisha tu mwanaume na kutoa sauti za kimahaba fake.

Wanasema asilimia kubwa ya wanaume wameathirika na mapenzi ya porno videos. Hivyo wamepoteza mahaba wamejikita kwenye muda zaidi na maumbile makubwa sana kuliko tendo lenyewe kuwa la kimahaba na kushibana.

Wito wangu: tuzidi kushirikiana wanaume katika kupeana taarifa za kusaidiana katika mambo haya ya mahusiano na kujenga uchumi. Tuwapende wanawake na pia kuwachukulia kama ni kitu cha thaman na delicate sana. Tuache kuwabaka.
Kwa point hizo hata wanaume wanabakwa,hapo sisi inatuhusu point no.3 tu lakini vinginevyo hivyo vyote hapo hata visipofanyika kwa mwanume anakuwa kabakwa.
 
usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
12,550
2,000
Ni kweli ila kwa kua ndoa tumezifuata wenyewe na tunafahamu fika lengo la mwanaume wa kiafrika kuoa ni kua na uhakika wa ngono pale anapoitaka yeye basi hatuna budi kuitikia wajibu wetu hata kama hatupo kwenye hali ya kufurahia watakacho!

Sent using Jamii Forums mobile app

100% usemalo n kweli

Maana shetan alie tuloga wanaume
Alikufagaaa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom