Kwa nini tusiige mfumo huu wa maisha?

Kwa nini tusiige mfumo huu wa maisha?

Waterlemon

Senior Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
143
Reaction score
199
Wana jumuia,

Kwa nini kila kukicha imani za watu walio wengi waliokuwa kwenye mahusiano inazidi kupotea?

Laghai zinakuwa nyingi, kuchepuka nako hakwishi na hata uzalendo wa kufanya yale tunayowajibika tuliyoyaapia kuyafanya nao unayeyuka.

Mapenzi yanaanza kwa nguvu. halafu kama vile yalitengenezwa kwenye laboratory, shelf life taratibu inaanza kukatika exponentially.

Kuna baadhi ya wanyama ambao wanaishi kwa mfumo ambao wanachaguana na kuwa partners for life, unaitwa monogamy. Species hizi za wanyama huwa paired for life na hawatengani mpaka kifo, naukiangalia wanyama hao, unakuta hii system yao ya pearing haiwaadhiri population yao kulinganisha na wengine wasiofuata system hii.

Mfano wa wanyama hao ni kama mbwa mwitu wa mabara ya kibaridi (worves, koyote), aina kadhaa wa eagles (ndege tai) ndege swans, njiwa na wengine wengi tu

Kwa nini tusiigize mfumo huu wa monogamy since we humans are already the pinnacle of all intelligent species duniani?

Mukuje hapa wenye mtazamo kwenye mahusiano mchangie tuelimishane....
 
wanawake wapo wachache hivyo wengine watakua wapweke tukianza kugandana kama kumbikumbi
 
wanawake wapo wachache hivyo wengine watakua wapweke tukianza kugandana kama kumbikumbi

Kutokana na sources kama world bank data (IBRD -IDA), number ya wanawake duniani ipo karibu 50:50. Tena inaonyesha kupungua. Kuanzia mwaka 1960 mpaka 2016 namba ya wanawake imeanguka kutoka 50.002% mpaka 49.552% duniani.
 
Ujinga ni pale wewe unavyoanza kufata huu mfumo alafu unaanzisha mahusiano na 'mzoga' ambaye anagawa papuchi kama hana akili nzuri

Ndio uwe mwangalifu na kuwa good judge of character hapo. Ukija kutafuta mzoga jalalani akili kichwani
 
Tanga, tu ndiyo eneo nimemmpata mrembo wa hivi. Nami sitaki habari za kuchepuka ni njia kuu daima.

Kwa hiyo , hilo jambo linawezekana kabisa yaani mme mmoja na mke mmoja na kuwa waaminifu siku zote bila kuchepuka.

Nashukuru sana, kwa mkoa wa Tanga kuwa Tanzania.
 
Watu na visingizio vya "uchache wa wanawake" hili haliwezi kukamilika mpaka mwisho wa dahari,.acha kila mtu apambane na hali yake mwisho wa siku wote tutayarudia mavumbi iliko asili yetu..acha wanyama mwitu na ndege wa angani waufurahie ulimwengu kwa jinsi hiyo.

Sent from simu ya Mumu.
 
Back
Top Bottom