Machuchu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 1,260
- 969
Habari za mwisho wa mwezi:-
Katika maisha tunayoishi kuanzia watoto hadi kuanza kusoma, I-VII, I-IV, V-VI unaenda Chuo, Field na maisha ya mtanzania bila kusahau ni kuhamahama. Mnakutana na watu wengi na kufanya matukio mengi sana. Inapokuja mkapotezana kwa namna yeyote ile mkikutana hasa barabarani au sehemu yeyote ile lazima furaha itawale na hata kubadilishana namba za sim na kuelekezana unapoishi hata ishu unazofanya.
Sasa inakuja kua kitu cha kushangaza upo na Mke/Mume au mpenzi (Mchumba) Katika kitendo kile ANANUNA kabisaa anakuwa hana imani anakasirika hii inanishangaza sana na inaniuzi.
(Mfano mfupi) Iliwahi nitokea Tulitoka OUT nikakutana na mtu ambae alikua best yangu katika utambulisho mwenzangu akanuna na kuanza kunivuta kuanza kunipiga vikofi vya hapa na pale na kunifinya hadi Baunsa akatufukuza eneo lile tupo kwenye TAX nyuma vitasa vikawa vinaendelea mwishoe nikaapa sitatoka OUT zaidi ya pekeyangu tu.