Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume wa Dar wapo tofauti sana na gia zao za kuingia kwa wasichana mpaka wana kodi gari kwa wenzao ili waende kungolea msichana akiingia nae out ananinginiza ufunguo akiwa counta anautupa...
15 Reactions
108 Replies
19K Views
Kwenye kizazi cha sasa hofu inazidi kutanda kwa wazazi hasa wa kiume juu ya umiliki halali wa watoto. Na hii yote imetokana na wapenzi kukosa uaminifu na kutokuwa wakweli, Mungu si Lipumba...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Binti wa kimakua Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
3K Views
MIMI na mke wangu tuliingia katika vita baridi. Kila siku alikuwa akinilalamikia tu, ooh mara nina kibamia, mara simfikishi basi ilikuwa ni vurugu mwanzo mwisho. Kusema kweli amani ilitoweka...
9 Reactions
91 Replies
18K Views
Wana jukwaa napenda niwasalimu wote. Napenda kuwajulisha ya kwamba rafiki wetu,member mwenzetu marejesho amefiwa na mdogo wake WA Kiume juzi tarehe 10/10/2014 katika hosptali ya Rufaa ya KCMC...
12 Reactions
154 Replies
12K Views
Ukiangalia kwa harakaharaka utagundua kwamba idadi ya ndoa zinazovunjika kwa sababu ya michepuko zinazidi kuongezeka! Ukiuliza chanzo utaambiwa eti kisa mwanamke hataki mpenzi wake awe na...
5 Reactions
137 Replies
10K Views
Hii kitu inanisumbua sana nina mwanamke na mke wangu amezaa watoto watatu na cha ajabu watoto watatu wote wamefanana na mama yao copyright najua wasomi wanaelewa maana ya copyright. Napata shida...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Copy and pasted Sio kwamba nawafundisha namna ya kuchepuka, hapana! Lakini huwa naona wanawake wengi wanaochepuka na kufanya makosa haya nawaonea huruma. Nawaonea huruma si kwasababu...
13 Reactions
122 Replies
16K Views
Kuna mkaka mmoja mtaani kwetu alitokea sana kunizoea tukawa mabest wakubwa na mshauri ananishauri. Mimi nina mahusiano yangu na yy pia ana mke wake na pia sasa katika kuchat chat mara akaanza...
5 Reactions
72 Replies
6K Views
Habari.. Unakuta mwanaume amegombana na mwanamke, either mpenzi wake, rafiki yake au ndugu yake wa jinsia ya kike. Baada ya kugombana huko atakuja humu au kijiweni kwao na kutusi wanawake wote...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
habari wana mmu wote,, tumeongea mengi kuhusu mapenzi na urafiki naomba weekend hii kila mwana mmu atoe neno la kumshauri rais wetu magufuli,,, mama janeth nae naona kama anapwaya sana kwenye u...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Wazee habari za mda, Yeyote utakaosoma huu ujumbe. Nimepata balaa simu yangu imejitype imetuma ujumbe fuc* kwa msichana niliyekuwa namtongoza na yupo kwenye process. Hapa nilipo natafuta jinsi...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Nyie wanawake nimenyoosha mikono mtu anakupa kila kitu anapiga mashine kwa kusimamia kucha kama hana akili ila bado mnasaliti dah naomba niwape heshima kwenu nyie viumbe wakipekee
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naombeni msaada wenu, Nina mpenzi wangu tuna mwaka sasa na miezi kiukweli yeye kanidizi miaka ya umri kama miwili hivi (mapenzi sio umri lakini) ila kuna tatizo mpenzi wangu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwanaume mmoja nchini Swaziland ametaka arudishiwe mahali ya Ng'ombe 24 baada ya kugundua mke aliyemuoa si bikira kama alivyohakikishiwa wakati akifanya taratibu za ndoa. Mwanamke huyo Ruth...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Naamini humu kuna watu wenye fikra tunduzi na pia wana uwezo wa kung'amua min tarafu ya kimahusiano hususani katika masuala haya ya elimu. Ndugu zangu, wenye upara na mvi naombeni mnitanabaishe...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Hili halipingiki but linauhalisia, asilimia kubwa tumeoa au tuna tembea na wake wa wenzetu ikumbukwe zamani mtu mpaka anaoa alikua anazindua yeye kila kitu (bikira), sasa imagine wewe mkeo...
5 Reactions
125 Replies
11K Views
1. Atakutega kupata attention yako.Hufanya mambo ambayo yatamfanyakuonakama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjalina kiasi...
12 Reactions
124 Replies
28K Views
Tufupisha stori ni hivi... Mke ni mama kijacho... Kwa muda mrefu nimekua nikimuona mke akiwa busy sana na simu na wakati mwingine kukosa raha mara anapomaliza kuongea na mtu nisiyemfahamu kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana MMU, Kwanza poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa, Ndugu yenu nimepoteza furaha yangu kabisa na sijui la kufanya ili nirudishe furaha yangu, nitakribani wiki 2 hivi sasa nimekuwa...
3 Reactions
60 Replies
7K Views
Back
Top Bottom