Vyanzo vya ndoa mbalimbali

Vyanzo vya ndoa mbalimbali

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,166
Reaction score
2,670
Kuna ndoa iliyoanza na,

1. "Will you marry me?"

2. Nyingine hii "Nina mimba yako"

3. Kuna za mitishamb a.k.a sangoma

4. Status za kimaisha mfano Dr. GWILA,

5. Vyeo na kadhalika.....

Kama una mifano hai vyanzo vya ndoa waweza ongezea hapa...
 
...mwanzo kwenye namba 1 hadi 2 tulikuwa pamoja lakini namba 3 na 4 nikama mawasiliano yamekatika,ebu ziweke vizuri hizo sentesi usomeke...
 
Hahaha, umedata.

Usisahau
6. Succumbing to family and peer pressure.
 
Ndoa ya mkeka yaani kulazimishwa kuoa baada ya kufumaniwa.

Wazazi tumeamua ukitaka utamuoa hukutaka utamuoa binti yule lasivyo utakosa radhi.

Wazazi tumeamua yule kijana atakuoa utake usitake lasivyo utakosa radhi, mahari tumeshapokea kabisa.
 
Hii mbaya sana, unaingia ndani huna amani!
 
siku hizi 'will you mary me' utasubiri sana... ni mwendo wa kubebeshwa kwanza af ndo ustaarabu mwngine unafata...
 
Kuna ndoa iliyoanza na,

1. "Will you marry me?"

2. Nyingine hii "Nina mimba yako"

3. Kuna za mitishamb a.k.a sangoma

4. Status za kimaisha mfano Dr. GWILA,

5. Vyeo na kadhalika.....

Kama una mifano hai vyanzo vya ndoa waweza ongezea hapa...

mbona hujaweka 'ndoa ya mkeka'......baba na wajomba wanakulia timing wakiwa na sheikh ukiingia tu na mzigo geto wamekuibukia!!!!!
 
Ndoa ya mkeka yaani kulazimishwa kuoa baada ya kufumaniwa.

Wazazi tumeamua ukitaka utamuoa hukutaka utamuoa binti yule lasivyo utakosa radhi.

Wazazi tumeamua yule kijana atakuoa utake usitake lasivyo utakosa radhi, mahari tumeshapokea kabisa.

ntaolewa ila sitadumu nae
 
Back
Top Bottom