Wakuu saa 8 uskuu huu niko macho sebleni hapa mwenzangu anagonga huko room mbaya zaidi na makelele nayasikia ....Aaarghhh :mad: :mad: ishuuu iko hivii me na mchizi wangu tumepanga chumba na...
i) Kuomba sana pesa hata kama na yeye ana kazi, hii imekuwa kama mazoea kuwa mwanaume ndiyo mtoa pesa in all life aspects.
hii siyo sawa maisha ya kusaidiana ndiyo yaletayo furaha na mafanikio...
Nilikuwa naamini kuwa wanawake wa kizungu wanauelewa kidogo kuliko hawa dada zetu kumbe sio. Nemeamini mwanamke ni mwanamke tu.
Hivi inakuwaje mdada unaenda kumtembelea mpenzi wako, alfu wakati...
Asilimia kubwa ya vijana wa kitanzania wameshidwa kutimiza ndoto zao kisa mapenzi. Katika huo utafiti unazungumza vijana wengi kwa ushawishi toka wapenzi wao walijikuta;
1. Wanauza nyumba...
Habari wakuu , msaada nahitaji chumba magomeni , msasani au morocco kiwe kimoja self contained marumaru na gypsum kama ni dalali unaweza ni pm au msaada wa mawasiliano ya dalali natanguliza...
Habari zenu.
Niliingia chimbo kwa muda na nimebaini kuwa ktk jinsia ya KE kuna watoto na akina mama tu. Wasichana hakuna tena.
Nimebaini ya kwamba KE akifika miaka 13 tayari anakuwa ni mhenga wa...
Wadau,
Hivi karibuni nitakuwa na kideti cha dinner na shemeji yenu mtarajiwa. Nahitaji sehemu nzuri, romantic kwa ajili ya tukio hapa Dar. Nimeshawahi kwenda dinner sehemu tofauti tofauti, but I...
Mke ni kama Tv na
Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.
Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.
Tv ni bure kwa maisha yako...
[Capital Lifestyle Magazine]
The following traits put off many married people:
1. “The Controlling spouse”
This is the husband/wife who wants to dictate things. Everything has to be as they...
Kuna baadhi ya nyimbo za bongo fleva huwa nikiziskiliza najihi kama msanii husika aliniimbia mimi, yaani inatokea wimbo unanigusa moja kwa moja! Nyimbo zifuatazo huwa zinarandana na nyakati...
Salaam..
Nilipokuwa mdogo.kabla sijawa mkubwa wa kujitambua nilikuwa napenda sana wanaume weupe.
Na akili za utoto tena, Nikawa nasema kwa nini baba hajawa mweupe,,
Pengine nami ningekuwa mweupe...
Wimbi la mamario limeongezeka kwa kasi sana inapelekea vijana wadogo kutembea na mijimama iliyowazidi umri ,hasa hasa wasanii nasikia kuna dogo mmoja juzi kwenye miss ilemela walikua wote...
Dinalicious blog ndio blog ninayoikubali miaka yote milele na milele.
Huko ndipo kulikonichochea nianze kupiga puchu na niwe mpiga puchu mashuhuli kwa mada motomoto ambazo zilikuwa zinatolewa...
Habari zenu wana jamvi.
Kuna msichana nimetokea kumpenda sana kwa kweli na nimeshamtongoza ila alichonijibu ni kuwa ana boyfriend wake anampenda. Nilipomsisitiza alikuwa mkali sana na kunambia...
Unaweza ukawa na shep kama umeshushwa vile, yaani hujazaliwa, lakini kama huna bahati ni kazi bure. Utakuwa na furaha kipindi ambacho umevaa nguo tu unatembea huku wanaume wakikuangalia kwa macho...
Ninapoandika huu Uzi inawezekana yeye yupo katika hali ya kawaida kabsa lakini ajue ya kwamba kuna mtu ambaye anampenda na anatamani awe Nuru itakayomulika Maisha yake.
Kweli huyu mtu nmempenda...
Kwanini Mabinti wa siku hizi hasa Kizazi hiki cha dotcom ni wazito na wavivu sana kukata Viuno vyao Vitandani pale wakiwa wanabanduliwa na hata akisema akukatie hicho Kiuno atakata kwa dakika...
Huyu binamu yangu tulicheza wote kwenye mabembea lakini binamu ni mke wa mtu. Mume ametoka safari juzi kati kama ilivyoada alifungua begi baada ya zawadi kutolewa ili achukue nguo za kufua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.