Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Dah, inasikitisha pale una kabinti ka sekondari kanakuamkia shikamoo kwa adabu zote alafu kesho unasikia kanatembea na mwalimu ambaye ni umri tu sawa na wewe mzazi.
Sasa ningependa kujua wale wenye uzoefu, je unawezaje kujua kuwa binti yako vijana wemeshaanza kumtumia ili uweze kuchukua hatua stahiki za kuzuia uharibifu huo usiendelee?
Sasa ningependa kujua wale wenye uzoefu, je unawezaje kujua kuwa binti yako vijana wemeshaanza kumtumia ili uweze kuchukua hatua stahiki za kuzuia uharibifu huo usiendelee?