Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,602
Nitangulize tahadhari:
Uzi huu ni kwa ajili ya kujua ukweli (facts) na pengine kwa kutumia facts hizi wahusika warekebishe kasoro hizo ili kuweka maisha yao sawa.
Kuna wasichana kadhaa ninaowafahamu ambao kwa maoni yangu ni wazuri sana lakini hawajaolewa na wameishia kuwa single mothers na wengine waliolewa lakini ndoa zao zimevunjika nao pia wanaishi kama single mothers.
Udadisi wangu ni kutaka kujua NI NINI HASA SABABU YA HALI HII pamoja na mvuto wote huo walionao?
Naomba kuwasilisha...!