Nataka kuacha kuwatafuna barmed

Nataka kuacha kuwatafuna barmed

BigBro

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
3,651
Reaction score
12,030
Kwa kweli nimetafuna wengi mno hata idadi sikumbuki. Sasa nataka niache, maana kila bar nikifika na nikaona muhudumu aliyenivutia lazima nichukue namba na next day namtafuna. Nawaasa wadau wenye tabia Kama yang sasa tuungane kuacha tabia hii.

Source: Baada ya mama watoto kanifuma na barmed pale Landmark hotel
 
Barmed ndiyo nini Mkuu?
 
acha kwenda baa

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
MKUU KUACHA TU HAITOSHI.KAPIME UKIMWI NA KUBADILI AINA MAISHA YAKO.YAN NAMAANISHA MRUDIO MUUMBA WAKO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom