Kweli wanaume siyo watu wa mchezo mchezo

Kweli wanaume siyo watu wa mchezo mchezo

super model

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
307
Reaction score
321
Kuna mkaka mmoja mtaani kwetu alitokea sana kunizoea tukawa mabest wakubwa na mshauri ananishauri. Mimi nina mahusiano yangu na yy pia ana mke wake na pia sasa katika kuchat chat mara akaanza kunitongoza tena kwa speed ya 4g mm kwa vile najielewa na kujitambua nikamkatalia kata kata cuz cwez kutoka na mme wa mtu pia mm cwez isaliti familia yangu kwa ajili ya mtu ambae kwangu namchukulia kama kaka yangu wakuzaliwa.

Sasa baada mm kuonyesha msimamo wangu juzi kanipigia cm anaomba nimpe hela ana shida mm nikamwambia kiukwel kwa sasa mm sina ningekua nayo ningekupa .

sasa kuna siku nilisema ebu nimjulie best yangu hali cuz atujawasiliana mda mrefu daah hakupokea cm yangu ila alinitumia msg yakunitukana ananiambia ctk unizoee kwanza umenikataa pili nimekuomba hela umeninyima fata mambo yako achana na mm kwanza una bahati ulivyonikataa cjawai kukupenda kama nilivyokuambia ila nilitaka unikubalie niwe nakupiga vizinga vya hela tu

kiukweli ile msg ilinipa wakati mgumu sana wakuitafsiri nakuwaza kumbe baadhi ya wanaume cyo watu wazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutalipa hiyo,ngoja tu kuna mtu ataleta uzi tu hapa kuhusu nyie iwe ngoma droo


Haaaaa haaaaaa teeeh teeeh.
Imebidi tu nicheke.
Mimi ni mwanaume, ila usilipize kwa kuleta hata story za abunuwasi na kutungwa ati kwa vile tumesemwa.
 
Kweli SuperModel... kuna mtu namjua na anaendesha maisha yake kwa staili hiyo!
Na hapo ungempa papa angetumia hata Viagra ili usije msahau na akupige vizinga kirahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaa haaaaaa teeeh teeeh.
Imebidi tu nicheke.
Mimi ni mwanaume, ila usilipize kwa kuleta hata story za abunuwasi na kutungwa ati kwa vile tumesemwa.
Aiseeh!!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Haaaaa haaaaaa teeeh teeeh.
Imebidi tu nicheke.
Mimi ni mwanaume, ila usilipize kwa kuleta hata story za abunuwasi na kutungwa ati kwa vile tumesemwa.
Kweli kabisa penye kweli wacha pasemwe shemeji.
 
Tatizo sio wanaume...

Tatizo ni wanawake wa siku hizi kupenda kuhonga.... ndio maana wanaume wanaona watafute vitonga...

K anapata na hela juu
 
duh pole ila lazima watu kama hao wawepo ili kuwe na tofauti ya kizuri na kibaya atuwezi kuwa wazuri wote,mshukuru mungu alie kuongoza kumtosa
najaribu kuwaza ungemtosa wakati kakuvua tayari angetokwa na povu gani kama kunyimwa tu kaja juu ivyo?
 
siku hizi nao wanawinda,,,wnataka vya kupewa pia,,haki sawa
kaa mbali na huyo si rafiki
 
Bora kasema ukweli! Wanaume wakweli ni wachache sana Duniani,naamini sasa hapo umeshapata funzo kaka ni yule uliyezaliwa nae hao wengine ni wababaishaji na wapiga vizinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni afdhali ulimkataa ungekuwa maji mara moja ungeumia sana kaka yako ni wakuzaliwa tumbo moja lakini wakukutana njiani nikama chua kwenye mchele super wa supermarket pole achana naye je naye huyo ni kitonga kama vitonga vingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom