Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,212
- 16,915
Habari..
Unakuta mwanaume amegombana na mwanamke, either mpenzi wake, rafiki yake au ndugu yake wa jinsia ya kike. Baada ya kugombana huko atakuja humu au kijiweni kwao na kutusi wanawake wote kwa pamoja kwa kosa la mtu mmoja, "wanawake wote akili zao zinafanana au wanawake wote hawana akili" are you crazy??? kati ya hao wasio na akili mama yako yupo humo?? au ndugu zako wa jinsia hiyo wapo humo??
Mimi pia nilikuwa mmoja wa kutumia hayo maneno lakini wakati huo nilikuwa bado sijitambui, ndugu zangu tuheshimu mama zetu na jinsi yao kwa ujumla
"tuishi nao kwa umakini" sikumbuki exactly hii kauli ilizingumzwa na nani, ila alitumia busara sana kufikisha ujumbe
Tuheshimu mama zetu kwa madhaifu yao
Usichukie mchezo, chukia mchezaji
mchana mwema.