Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu yangu kaambiwa mali n miln 2 na nusu ...uyo aliemchumbia ni bint wa miaka 20 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
123 Replies
13K Views
Pale baba wa rafiki yako anapokutaka kimapenzi kuna ulazima kumwambia rafiki yako?? au kukaa kimya.
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanawake wote mlio katika ndoa na hongera zenu kuolewa. Leo naomba tukumbushane kitu kingine tulichofundishwa kule Mkoleni tena kwa Vitendo kungwi alionesha huku akiimba jinsi ya Kusinga...
6 Reactions
37 Replies
16K Views
Habari Za Jioni JamiiForums, Nashindwa kuwaelewa hawa Wanawake, kila nitongozae cha kwanza kabla hata ya siku kuisha anakuambia nataka wazazi wangu wakufahamu kwanza, harafu kutoa penzi mpaka...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za siku nyingi wakurugenzi, Hivi kwa wale wenye wapenzi wachangamfu, huwa mnadeal nao namna gani? Mfano unakua na binti ambae anachangamkia kila mtu hata asiowajua, unawezaje kumhandle mtu...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari za jumapili wapendwa.. Leo nataka niwadokeze jambo kaka na dada zangu mlio kwwnye mahusiano.. Kumekuwa na hali fulani ya mtindo wa maisha ambao watu wanaona ndo utamaduni unaotakiwa katila...
15 Reactions
116 Replies
7K Views
15 Tips to Avoid Masturbation There are many ways you can try to avoid masturbation. You just have to have the right mindset and a commitment to stop the behavior. 1. Use Your Energy and Time in...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Siku hizi kuna katabia ya baadhi ya wadada pale unapowatongoza wanakuuliza "ntaaminije kama unanipenda kweli?" Aisee hili swali ogopa sana hapo wanakuandalia mazingira ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello, It is a trend sikuhizi jamaani kila nikiingia instagram lazma nikute wadada wamepiga picha za kubinua, kuonesha au kutingisha makalio yao, wadada tena utawaskia wanasifiana eti shosti siku...
8 Reactions
117 Replies
26K Views
Hivi karibuni nimekutana na jamaa yangu wa siku nyingi katokea huko Arusha kaja jijini kwa ziara kikazi Akaniambia mambo mengi na zaid zilikuwa ni story kwa nini muda wote huu jamaa hajaoa, hapo...
8 Reactions
57 Replies
6K Views
Unapoamka unakusudia jambo baya juu ya maisha ya mtu ni sawa na kucheza pata potea maana hujui alilala je au aliongea nini na MUNGU anaemtegemea . Hujui tu anaishi kwa kujiamini kwa sababu gani...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna rafiki yangu, ameoa toka 2005 amezaa naye watoto 3. Toka wameoana, mwanaume hajawahi kumlipia mahari. Kwa sababu, hakujisikia kuishi naye toka wakati huo. Mwanamke alijileta kwake, akagomea...
2 Reactions
69 Replies
6K Views
"Ili ujue thamani ya uliyenae, mpate usiyenaye kwa kumfanya abadili thamani ya uliye naye" Na: Baraka Mwakalundwa 2 Timotheo:4.2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa...
0 Reactions
6 Replies
929 Views
Amani iwe kwenu. Baada ya pitapita zangu katika safari ya maisha nimegundua hamna kazi ngumu kama kubikiri demu. Ikumbukwe nazungumza Kwa uzoefu wa mabara tofauti tofauti, nimebikiri waasia...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa serikalini natafuta msichana wa kuishi nae kama mke wangu awe na umri kuanzia miaka 22 mpaka 28 elimu kidato cha nne kuendelea dini mkristo aliye tayari...
1 Reactions
0 Replies
936 Views
habari za weekend wakuu Natumaini mnaendelea vema na weekend iliyopo na inayoendelea mbele Tukiludi ktk mada wanawake huwa mnapenda style gan ya mtongozo mpaka kuingia kunako mahusiano?? Baada...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa inasemekana huu ndio mchezo unaopendwa na madada wazuri na mabishoo wengi wa mjini. Utakuta brothermen kapiga buti kali na pensi lake mwenye mikono kama vile ana majipu alivyo...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
KATIKA KIPINDI AMBACHO MAPENZI YANASHAMIRI NA KUWA MATAMU NDIO KIPINDI AMBACHO KUNATOKEA JINI KISIRANI AMBAO KAZI YAO NI KUTAKA KUONDOA ILE FURAHA YENU. Naamini kabisa kuwa katika mahusiano...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mke na mume waligombana, mume akamwambia mke abebe kila anachoona anakipenda aondoke aende nacho kwao. Mke bila hiyana akachukua mito miwili tu. Wakati anajiandaa kutoka akapiga simu gari ije...
7 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom