Wanawake Heshima kwenu

Hii tabia haina jinsia, sisi wanaume huwa tunapewa kila kitu na wanawake,wanatuzalia watoto lkn bado tunawagegeda rafiki zao na ndugu zao
 
Hapo ndipo huwa sielewi kabisa. Humu ndani mmu mada ni kufagilia michepuko daily leo mmewafanya wanawake nao waone imetosha kuumizwa na wao wanarevange sasa cha kushangaza kikubwa mnaumia why bro?? Mbona ww ukimfanyia unaona ni sawa na ni haki yako? Japo sifagilii hii tabia both kwa wanawake na wanaume.
 
Wanaume wanayo haki ya kimbingu (divine right) ya kujamiiana na wanawake zaidi ya mmoja kwa mujibu wa maandiko matakatifu. Mwanamke anayezini anapaswa kupigwa mawe mpaka
 
Maisha ya mwanamke , kuhusu usaliti huwa hamna formula kabisa.

Mwanamke, anaweza akatulia hadi ukadhani kuwa papuchi yake imeziba au amemwazima mwanamke mwenzie.
Kisha uyo huyo, akawa kama Simba anapokuwa nyikani akiwinda msosi.

Wanawake, shikamooooooooo.
 
Ukimridhisha kwa dydyu Bado atataka pesa, ukimpa pesa Bado atataka uwe handsome mara uwe mrefu.... Mara sijui mweupe ..


Mara oooh, Kata nyusi, Ooh paka poda, Mara usivae soksi ukivaa viatu, maraa tule matunda tu bila chakula Kama wali na vyakula vingine.

Inahitaji elimu, uvumilivu, na akili kuishi nao. Ukitumia ugali na samaki basi mke /wanawake watakuzingua sana.

Any way, no men can predict Women's action even for a second.
 
Back
Top Bottom