Habari zenu.
Niliingia chimbo kwa muda na nimebaini kuwa ktk jinsia ya KE kuna watoto na akina mama tu. Wasichana hakuna tena.
Nimebaini ya kwamba KE akifika miaka 13 tayari anakuwa ni mhenga wa mambo ya 6*6. Na anapofikisha miaka 15 anaanza kutupa vichanga chooni. Hii ndiyo kusema KE wanabadilika kutoka utoto na kuingia moja kwa moja kwenye umama.
Hatari sana.