Mdogo wangu watu waongo sana huku mtaani wanasema umehamishiwa Kibiti kumbe bongo,hongera mweeHabari wakuu , msaada nahitaji chumba magomeni , msasani au morocco kiwe kimoja self contained marumaru na gypsum kama ni dalali unaweza ni pm au msaada wa mawasiliano ya dalali natanguliza shukrani za dhati
DPP
Huku mbezi kwa musuguli St anne kuna chumba na sebule laki tu kwa mwezi na mimi ndo dalali.Habari wakuu , msaada nahitaji chumba magomeni , msasani au morocco kiwe kimoja self contained marumaru na gypsum kama ni dalali unaweza ni pm au msaada wa mawasiliano ya dalali natanguliza shukrani za dhati
DPP
Poa nitawaambia huko dar es salaama.Nipo dar mkuu
DPP
Nipo dar mkuuMdogo wangu watu waongo sana huku mtaani wanasema umehamishiwa Kibiti kumbe bongo,hongera mwee
Mkuu lengo nikua karibu na shule ninayofun disha ndio maana nimeomba msaada maeneo tajwa rumMimi mwenyewe nina nyumba chumba kimoja, self contained ila kiko kimara. Juwa kuna mwendokasi nipigie 0655 666677
Sent using Jamii Forums mobile app