Wanaume weusi vs wanaume weupe

Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,164
6,535
Salaam..
Nilipokuwa mdogo.kabla sijawa mkubwa wa kujitambua nilikuwa napenda sana wanaume weupe.
Na akili za utoto tena, Nikawa nasema kwa nini baba hajawa mweupe,,
Pengine nami ningekuwa mweupe.

Tokea nimefikisha miaka kumi na mitano na kuendelea mpaka Leo.
Sijawahi kuwapenda wanaume weupe hata kidogo.
Sio kwa ubaya. Ila sina mapenzi na rangi nyeupe kabisa.
Angalau mwanaume awe na rangi ya Maji ya kunde,
Mda mwingine mpaka najiuliza vipi hawa wanawake wanawapenda wazungu??,
Ikiwa Mimi mwanaume akiwa mweupe haijalishi ni mwafrika au Mzungu si wapendi kivileee..sio kimapenzi hata kwa urafiki wa kawaida tu...

vipi wewe unavutiwa na mweupe au mweusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom