Wakuu
Hakuna kitu sikipendi kama mmefuatana watu wawili then mwenzako akakutana na rafiki ake wa kwao wakasalimiana kiswahili ghafla lugha ikabadilika wakawa wanaongea lugha ambayo huielewi...
Habari,
Wanawake wengi wakiwa hawajaolewa (ama wana watoto au la) baada ya miaka 30 huwa na falsafa zao.
Moja ya falsafa zao ni hii hapa. (Unaweza pia kuongezea)
BLEEDING LOVE
Isingekuwa rahisi kujizuia. Angewezaje kujizuia ikiwa mashoga zake karibu wote walikuwa na michepuko yao, na bado ndoa zao zikabaki salama vile vile?
Shoga yake aitwaye Amina...
Juzi nilienda Kenya kwa shughuli za biashara, kutokana na shughuli za shamba kupakia mzigo na kusafiri kwenye magari na mzigo nikafika nikiwa nimechoka sana, na viungo vinauma sana
Nikafika...
Kuna gym hua naenda kufanya mazoezi hapo posta, yaani sipendi kuwaficha, huku gym wanawake hawa wanaliwa sana, mwanamme kama unafuga kitambi chako usiruhusu mke wako aje gym huku
Yaani kwa haraka...
Wizara ya Afya ya nchini Uganda imewataka Wanaume wote nchini humu Kuacha mara moja Kunyonya maziwa / matiti ya Wake / Wapenzi wao kwakuwa yametengenezwa maalum na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya...
Hii inanishangaza sana, hivi sisi baadhi ya wanawake tukoje? Mtu unapigwa na mwanaume kama punda unakuja kusumbua watu wengine wanakufata wanakuuguza wee ukipona huyo kiguu na njia unarudi huko...
Habari za Jumapili wandugu..
Rejea kichwa cha habari hapo juu,
Kuna dhana imeenea sana huku kwetu Pwani kwamba bidada anayejua kukaangiza madiko diko, wako vizuri sana, ikiwa na maana ni wazuri...
WAKATI NA MAISHA
Time will tell! Huu ni msemo maarufu wa kizungu wenye dhima ya kutukumbusha umuhimu wa matumizi mazuri ya muda.
Hakuna asiyejua kuwa kwenye maisha kuna kipindi cha neema na...
Morning good people!
Inawezekana umewahi kujiuliza mara moja, kwa nini boyfriend/girlfriend wangu anataka picha zangu za uchi/utupu? Hizo picha huwa anazifanyia kitu gani na zina faida gani...
Naomba tupeane uzoefu wa jinsi hali inavyokuwa unavyojua na kujihakikishia kuwa mwenzio (mke/mume/mpenzi) kachepuka uchungu na uzito tunao lipa tatizo hili huwa ni sawa kwa wanaume na wanawake...
Mimi ni msichana mwenye umri wa kuolewa na kuwa mama kabisa. Nina mahusiano ambayo tulipanga mwakani tufunge ndoa. Kabla ya kuwa na uhusiano na mpenzi wangu wa sasa nilikuwa na uhusiano ambao...
Binadamu, watu, sio wa kuwaamini moja kwa moja. Usiweke asilimia 100.
Kwanini nasema hivi. Hali inasikitisha sana wale watu tunaowaamini, tunaowapa siri zetu, ndo hao hao wanaotugeuka na hata...
Habari za jumapili wapedwa
Mungu ni mzuri jumapili iko vyema.
Nimekaa hapa ghafla nawaza
Katika maisha kuna watu/ mazingira yanatufanya tuwe mbali kihisia ( mfano, wazazi wanakukataza...
Habari wanajamvi,
Aisee ugomvi wa watoto siyo wa kuingilia, kuna siku mwanangu Rizuge wa miaka minne alikuja kunishtakia kuwa amepigwa na mwenziwe Pizaulo ambaye umri unakaribiana. Mimi kwa...
Mke ni ni tulizo la moyo ndani ya familia,ni kweli kuna wakati anakosea na unatamani umpige lakini usipomkunja naye hujiona ni mfalme ndani ya nyumba.
Itoshe kusema ukiwa na mke wako jambo lolote...
1.Ni bora Mara elfu uamini mungu yupo kuliko kutoamini maana usipoamini siku moja unaweza kukutana nae ukalia na kusaga meno
2.usihuzunike sana kwa aliyekuacha maana amechoka kujifanyisha...
ACHA KUCHEKESHA ETI OOOHHH ANANIPENDEA PESA
Unaishi nyumba ya kupanga na hata kama umejenga kwa mkopo kudunduliza matufali, una kagari kamkopo au hata ni mtu wa daladala. Akija kwako ukijitahidi...