Tuseme mwanamke ni jasiri au hajielewi....

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,967
Habari zenu wakubwa sana!
Nimejaribu kumuangalia mwanamke katika maisha yake ya kila siku.. Lakini kuna mambo ambayo nashindwa kumuelewa...
*Mwanamke anaweza tongozwa club na Mwanaume asiyemjua, usiku wa manane akakubali kwenda nae bila woga wowote...
*Mwanamke anaweza kuolewa na Mwanaume wa kutoka mkoa mwingine kabla hata ya kufika kujionea mazingira ya mumewe, lakini anaweza kuaga familia yake na kubeba mizigo na kutimkia kwa mume asikokujua......
*Mwanamke anaweza amka asubuh na maumivu ya kidole akaenda maabara kuomba kupimwa UKIMWI.....
*Mwanamke anaweza kuikataa kutumia kondom kwa hofu ya kupata muwasho lakini haogopi UKIMWI.....
*Mwanamke anaweza kumchezea sharubu Simba lakini mende anamuogopa....
*Mwanamke anaweza akainama akiwa anakwichikwichi na kumuachia matundu yote nyuma mwanaume bila wasiwasi wa lingine kutumika isivyostahili..
*Mwanamke anaweza kumtapeli mwanaume mwenye uchu na kumuingiza gharama bila kumpa mzigo bila wasiwasi wa kupigwa..

Sasa huwa najiuliza, hawa viumbe ni jasiri sana au hawajielewi!

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Hawa viumbe ni jasiri sana aseee ila cha ajabu ni dhaifu sana katika mahusiano na katika kukabiliana na hali halisi.
 
Habari zenu wakubwa sana!
Nimejaribu kumuangalia mwanamke katika maisha yake ya kila siku.. Lakini kuna mambo ambayo nashindwa kumuelewa...
*Mwanamke anaweza tongozwa club na Mwanaume asiyemjua, usiku wa manane akakubali kwenda nae bila woga wowote...
*Mwanamke anaweza kuolewa na Mwanaume wa kutoka mkoa mwingine kabla hata ya kufika kujionea mazingira ya mumewe, lakini anaweza kuaga familia yake na kubeba mizigo na kutimkia kwa mume asikokujua......
*Mwanamke anaweza amka asubuh na maumivu ya kidole akaenda maabara kuomba kupimwa UKIMWI.....
*Mwanamke anaweza kuikataa kutumia kondom kwa hofu ya kupata muwasho lakini haogopi UKIMWI.....
*Mwanamke anaweza kumchezea sharubu Simba lakini mende anamuogopa....
*Mwanamke anaweza akainama akiwa anakwichikwichi na kumuachia matundu yote nyuma mwanaume bila wasiwasi wa lingine kutumika isivyostahili..
*Mwanamke anaweza kumtapeli mwanaume mwenye uchu na kumuingiza gharama bila kumpa mzigo bila wasiwasi wa kupigwa..

Sasa huwa najiuliza, hawa viumbe ni jasiri sana au hawajielewi!

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
Aisee !but huo siyo ujasiri bali ama wamepungukiwa au hawatumii vizuri uwezo wao wa kufikiri(rationality)
 
hapo pa kuinama kuacha matundu wazi! huwa na mie nafikiria sana hahahahahaahahahaha naangalia(ga) nacheka tu
 
Back
Top Bottom