ngome
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 235
- 98
Habar wanajukwaa natumia ni wazima wa afya tele.
Nilimchukua mtoto wa dada yangu kutoka kijijin kuja mjini kumsaidia kutafuta kazi baada ya kumaliza elimu yake ya kidato cha nne nilikaane nyumbani kwangu hatimae ameanzia uhusiano na mama mdogo wa mke wangu tena anataka kumuoa je nifanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app