Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,977
- 36,081
Nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa sana hapa Tanzania na ulimwenguni kwa ujumla
Lakini kabla ya jugular huko nataka nianze chini kwanza kwa kutengeneza msingi mzuri
Nime plan kuanzisha biashara kwa wanadada especially wale wa chuo
Lakini changamoto ninayoipata ni kuwa ,nashindwa kung'amua ni vitu gani hasa wanadada huwa wanavihusudu kwa kiasi kikubwa ili biashara yangu iwe ina tambaa kwa kasi?
Wadada please jitokezeni mnipe mwangaza ili nijue wapi kwa kuanzia