Mweusi Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 332
- 322
Hapa ikumbukwe kuwa kila kiumbe ana Tabia zake anazozipenda na kuzichukia.
Mie mwanamke mwenye tabia hii huwa tunaachana 10:00 asubuhi.
Tabia yenyewe ni hii ya mwanamke kufua chupi yake kwenye ndoo au kopo la kuogea, ama kwa hakika nina uwezo wa kuvumilia uchafu wowote toka kwa mwanamke lakini sio uchafu huo.