Kumtumia nauli mwanamke wa mtandaoni.

Kumtumia nauli mwanamke wa mtandaoni.

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,387
Hua nashangazwa sana na tabia ya wanaume wengi kuthubutu kutongoza wanawake mitandaoni kwa nia ya faragha hatimae wanaishia kuliwa tu pesa za nauli na makorokoro kibao bila hata kuwatia machoni. Aisee kwa mimi naona kumtumia PESA mwanamke wa mtandaoni ni sawa na kucheza BIKKO.
●Tutaendelea kupigwa pesa kipuuzi kwakushoboka kipuuzi na Profile picture..zisizo na reality
●hapa JF penyewe minjemba kibao imetapeliwa kwakushobokea DP za mamanzee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye mkono ulopinda utamjua tu. Ukute nauli yenyewe buku 5 tu nayo kelele hadi masikio yazibe. Mtumie tu anacho kulilia. Mbona tunatoa nauli kwa dala dala ukirudisha mkono mfukoni zinadondoka??
 
Mwenye mkono ulopinda utamjua tu. Ukute nauli yenyewe buku 5 tu nayo kelele hadi masikio yazibe. Mtumie tu anacho kulilia. Mbona tunatoa nauli kwa dala dala ukirudisha mkono mfukoni zinadondoka??
Mkuu hapa tunaongelea nauli kutoka mkoani nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom