Furahia uwepo wake kwa sasa

Furahia uwepo wake kwa sasa

Soja p

Senior Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
190
Reaction score
223
Hakuna asie jua kuwa hapa dunian ni njia tu hivyo wote tupo safarini jaribu kufurahia uwepo wake kwa wakati ambao yupo pamoja na wewe muonesha kuwa unampenda na unamuhitaji sana.

Fanya kila uwezavyo kumpa faraja na kumuonesha mapenzi ya dhati na kumfanya awe mtu wa furaha wakati wote anapo kuwa pamoja na wewe.

Kuna wakati utafika ambao hutaweza kuwa karibu nae tena hata kama utatamani kumuonesha ni jinsi gani unampenda.

Itafika wakati utatamani kumuona lakini haita wezekana kwan atakuwa amesha ondolewa kwako utatamani kumwambia maneno mazuri na matamu lakini utakuwa umechelewa hivyo wakati wa kufanya hayo ni sasa wakati bado yupo kwako.

Mwambie maneno mazuri na matamu yatakayo mfariji na kumtia moyo muonesha upendo wa dhati na mfanye awe mtu mwenye kutabasam kila wakati ili ajivunie kuwa na wewe.

Usisubili hadi aondolewe mbele yako ndo uanze kumkumbuka wakati ulishindwa hata kumwambia nakupenda wakati ulipo kuwa nae karibu wakati ni sasa na nafasi ndo hii fanya sasa kila zuri na jema kwake fanya kila uwezavyo kwa ajili yake muonesha vile unavyo jisikia Unapo kuwa karibu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu wengine hawajui thamani ya ampendae mpka ampoteze ndio anajua
 
Back
Top Bottom