Jamani wake wenye waume muinuke mkatafute ili ifike sehemu mwanaume akupende kwa akili yako,akuthamini kwa juhudi zako alipiganie penzi lenu kwa nguvu zote maana atajua kukukosa wewe ni kuikosa...
Habari wanajamvi,
Ni kitambo sijapost hapa jamvini kutokana na ubize wa hapa na pale. sio siri, nimewamiss sana
Back to the topic, Tuanzie hapa
Wanaume wengi sana tutakubaliana na ukweli kuwa...
Wanabodi, kuna mrembo mmoja tuko nae kampuni moja, ila idara tofauti ingawa midamida huwa tunakutana canteen au maeneo ya burudani.
Kwa njinsi alivyo mrembo, alinidatisha sana nikamua kumutokea...
kwa leo napenda kuzungumzia swala la kizazi cha leo kukosa maadili ,sio kwamba ni kuiga ni jinsi watoto wanavolelewa kwenye familia watoto wa siku hizi wanafanyiwa kila kitu na beki...
Katika mila ya kimakonde hususani mtoto wa kike, huchezwa ngoma kulingana na umri na ngoma hizi hugawanyika kwa makundi
Ngoma ya kwanza 1: ni kwa watoto wa umri wa miaka 5-8...
Nilikuwa naskia skia tu mabinti wa kitanga ni noma kwenye mapenzi nikafikir story tu za hapa na pale kumbe kuna ka ukweli.
Nimepata kazi huku na nilicho kugundua kutoka kwa hawa mabinti wa...
Siku hizi wanawake wanajifanya wana sauti sana kwa wanaume wao, wana midomo hao!! lakini ni kosa la baadhi ya wanaume kuishi na mwanamke kidhaifu na kizembe zembe.
Ni hivi tunawaoa kwa kuwalipia...
Kwanza nianze kwa kusema kuwa mlemavu si jambo ambalo kila mtu anapenda, ingawa tujue wote tukiwa hai ni kama tu walemavu watarajiwa. Mshukru sana Mungu kwa kuzaliwa mzima ila ujue ni kwa neema tu...
Hii ni serious na ndicho kinachonitokea sasa hivi; Nina michepuko miwili yote ni wake za watu;
Mmoja anakaa jiji lingine nje ya Dar es Salaam. Huyu ana mtoto wa miaka 12 ambaye amemzaa ndani...
Kuna kitu nimejifunza kama huna moyo wa kiume usijarbu kumspy mpenz wako maana utakufa na presha
nna mdogo wangu naish nae gheto ana manz wake lkn akawa hamuelew basi nikamshauri kwann...
Nimevumilia sana mpaka nikatamani jf nisiingie tena ila leo umenifanya nilie kama ile siku nilivyoachwa na boyfriend wangu baada ya wewe kumwambia uliyomwambia.
Pamoja na ukorofi wangu Dear ex...
Amelaaniwa kila anaetizama picha za sex hata kama hatendi yeye
Hadithi ya Mtume wa Allah -rehma za Allah na amani zimshukie- kuwa "zinaa ya jicho ni kuangalia". Imepokewa na Imam Bukhari, Muslim...
Maisha yalikuwa zamani! Sasa ni usanii tu! Enzi zetu "Wahenga na Wahenguliwa" kumpata mtoto wa kike ilikuwa si kazi rahisi!
Bila kuwa na utaalam wa kupangilia mistari yako kisawasawa, usingeweza...
A true story;
Leo jioni nilikuwa narudi katika kazi zangu ghafula nikaona wanaume wawili wanagombana stendi,nikamukaribia mtu mmoja ili nijue nini kimetokea,nikaambiwa hao ni dereva na kondakta...
Huyu dada ni mzuri kiasi ,kuna kitu nilikipenda kutoka kwake hadi nikawa na imagine big yaani daah she deserves to be my mama yoyo ,nikawa nam treat different na perception zangu zilikua perfect...
Habari za weekend ndugu zangu?
Hapa nilipo naandika huu uzi nikiwa mafichoni, kuna single mother nilikua nadate nae, sasa muda sio mrefu asubuhi ya leo kaniletea ujinga flani nikamlamba makofi...
Najua wengi watanipinga ila utafiti niliooufanya ya wadada wengi wanaopenda kuomba sana pesa kupitia wanaume na bila pesa kutoka kwa mwanaume basi hawana muda nae tena basi asilimia kubwa ndio...
Ndugu zangu natarajia kufunga pingu za maisha mwenzi wa 12 na maandalizi ya sendoff ya mama watoto wangu yashaanza...twende kwenye point kama nilivyosema hapo juu ila nataka kufunga hii ndoa bila...
Ni hivi wanawake wengi hudhani kwamba majukumu Yaliyompeleka kwa mume ni kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba.
Wanasahau kabisa kuwa lile tendo ndo kiunganishi kikubwa..!
Unakuta mwanamke...