Habarini za usiku JF members.
Mke wangu kila akisikia sauti ya jamaa jirani yangu lazima atoke nje kwenda chooni. Kiukweli hii tabia inanikera.
Sijataka kumwambia kwa sababu sina ushahidi wa...
Wasalamu wana MMU
Mimi ni member wa jukwaa hili wa muda mrefu. Nimeamua kuja na ID hii mpya kwa ajili ya hili suala.
Mimi ni kijana chini ya miaka 38. Nimeo ila ndoa yangu imeingia kwenye...
Huu msemo wa Mwalimu wa ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha, iko sahihi kabisa.
Ukianza kula wake za watu huwezi kuacha.
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilianza kula mke wa binamu yangu...
Naamini wengi ni wazima na wachache mlio na shida M/Mungu awafanyie wepesi.
Tunakumbushana tu vijana wenzangu kua "Kipindi cha neema ni kibaya sana kama huna moyo wa kuridhika katika mahitaji ya...
Wadau,
Kama nilivyowasilisha mada yangu hapo awali:
Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz na nikaahidi kutoa mrejesho wa mambo yatakavyokwenda.
Naomba nichukue fursa hii kuwashukuru...
Wadau,
Nahitaji mchango wa mawazo yenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kisa chenyewe ni hivi mimi ni diaspora ambaye nipo Korea kimasomo tangu November 2014. Mwezi Juni 2016 nahitimu...
Binafsi ni stori ndefu kidogo ila nitaifupisha. Mwaka 2004 baada ya kugraduate UDSM nilifanikiwa kuajiriwa katika shirika la umma na nikapangiwa mkoa mmojawapo wa nyanda za juu kusini. Baada ya...
wakuu kwema
Naombeni msaada wa kimawazo
Kuna mwanamke nampenda sana huu ni mwez wa 3 nipo nae kwenye mahusiano.
Kabla sijaanza nae mahusiano niliwah kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya nyuma...
Habari wana JF!
Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha? Mtu wangu alini-cheat nikamsamehe ame-cheat tena na sasa moyo wangu umechukia...
Naomba kuwaasa vijana wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI bado upo na ni hatari.
Miezi 4 iliyopita nilifanya ujinga nikalala na mwanamke bila kutumia condom ama bila kumfanyia vipimo...
Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka...
Wakuu habarini za kazi,
Nimegundua wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha na wasugua kucha huishia kusex nao. Huu ndiyo ukweli wasugua kucha wanagegeda sana wake za watu tena ndani ya nyumba zao...
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii...
Mwanzo 2 : 21 - 25
1 Korintho 11 : 8 - 12
If really you want husband and build a happier family, your WELCOME.
NO hook up! Only for long-term relationship and establish a stable family together.
Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa...
Ikitokea niko kwenye mkusanyiko wa watu, kisha wapo wanaume wengine nikiwepo mimi basi wengi wanakua hawajiamini, ni kama wanaogopa au wanakua inferior. Ni jambo la ajabu lakini nime li obverve...
Wakuu,
Ukitahiriwa kwa kiasi flani nguvu za kiume hupungua,mfano,kama ulikuwa unapiga bao tano basi utakuwa unaishia nne,
Ile radha halisi ya tendo hupote,je wajua govi hufanya livute utamu wa...
Mimi ni Mwanaume wa miaka 27 ,
Dini yangu, ni mkristo.
Naishi DAR
Kazi yangu ni muajiliwa
Elimu yangu ni DIPLOMA.
Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,
Awe mkristo
Awe anaishi Dar
Awe...
Hali zenu, SakoKwaBako!
Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.
Tatizo langu ni la saikolojia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.