Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana ndoa na wenye ndoto za ndoa, Yawezekana umewahi kusikia kauli maarufu sana inasema; "Kosea yote usikosee ndoa" Katika thread hii nitakupa maana halisi na siri iliyojificha nyuma...
15 Reactions
1K Replies
85K Views
Je unawezaje kumwambia mtu 'ananuka 'katika lugha ya kistarabu? iwe ni pafyume mbaya, kikwapa , 'mdomo' nk? Kwa watu wa kupita tu(say kwenye daladala) pengine ni rahisi tu kuvumiulia kwa dakika...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakuu majuma kadhaa nilileta nilileta uzi wa kuomba ushauri kuhusiana na mpenzi wangu ambae alikuwa ni mbinafsi, bahili na hanijali pia. Baada ya kusoma ushauri mbalimbali na kuchanganya na akili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kumpiga mwanamke wako vibao vya makalio tena vya nguvu? Kwa kweli sipendi hi tabia, na sijui anakua anamaanisha Nini, last week nimepigwa vibao vya makalio vya nguvu Hadi nikatoa machozi wakati...
19 Reactions
81 Replies
13K Views
Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo? Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu...
28 Reactions
368 Replies
59K Views
Wana bodi, Mimi ni kijana 30yrs o'levels 2008, leo hii nimmachinga, nilibahatika pata mchumba 2014, yeye ana degree ya uhasibu. Mahusiano yetu yamedumu kuanzia 2014 hadi 2016February, maana yeye...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Wakuu Salama!!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada naomba majibu wakubwa Mimi kijana wa 2000 (elfu mbili) ivi ni kweli inawezekana kabisa mke kunikimbia kisa eti anasema Nina mchosha sana...
7 Reactions
120 Replies
4K Views
Dah majuzi kwenye mida yetu ya kupiga yetu ya kupiga bia mbili tatu mshikaji wangu akaanza kulia Mara paap akatoa Funda moja la chozi 🥶akapiga na yowe huku akisema Ila "hawa wanawake watatuua"...
9 Reactions
72 Replies
3K Views
......
6 Reactions
244 Replies
32K Views
Naomba mnisaidie ndugu zangu,ni wiki ya tatu sasa toka nifanyiwe kitendo hiki na mjomba wangu ambaye ninaishi nae. Mke wa mjomba na watoto walisafiri kwenda likizo kijini nikabaki mimi na mjomba...
1 Reactions
60 Replies
28K Views
Maisha yana mambo mengi sana na katika hayo kuna amabayo yana afya katika makuzi yetu na kuna mengine hudhoofisha makuzi yetu ya mafanikio Moja ya mambo yanayodhoofisha makuzi yetu kimafanikio ni...
6 Reactions
7 Replies
352 Views
Kuna uyu mwanamke nilikuaga nae kwenye mahusiano tukaachana kwa ugomvi baadae akaugua akawa ananicheki naenda kwao kumuona nisipomuona inakuwa case alikuwa anapiga simu mda wowote akinikumbuka...
6 Reactions
20 Replies
896 Views
Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja. Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka...
20 Reactions
233 Replies
8K Views
Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28, nipo mkoa wa Dar es salaam - Mbezi, Nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo..... Njoo inbox / PM
1 Reactions
0 Replies
255 Views
Igweeeeeee, Wakuuu nipo kikazi Tanga kutokea Jiji la Dar es salaam. Wakuuu Mimi ni Mla Bata Kila ninapoenda sehem ni lazima nihuzurie viwanja vya Wala Bata . Wakuuu kiufupi Tanga madem wakali...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
She was found inside the man's home bathing while he was away. Jacqueline ades sent a man more than 159,000 text messages, some of which were threatening. The two went on a single date, one...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uzushi, husda na chuki vinaumiza sana – si kwa nguvu ya maneno yenyewe, bali kwa jinsi jamii inavyohukumu bila kuuliza. Lakini pia, hali hiyo inaweza kuwa chachu ya mtu kuamka, kujiamini, na...
5 Reactions
15 Replies
560 Views
Na huo ndio ukweli na hakuna kitu utamfanya
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume, Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28 nipo dar es salaam nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo, nicheki PM kwa namba ya simu nikupe
1 Reactions
0 Replies
337 Views
mke awe na umri wa miaka 25 - 33 dini mkristo kazi yoyote asiwe na mtoto awe na upendo wa kwel na hofu ya mungu.... mwenye vigezo karibu pm
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Back
Top Bottom