Nahitaji mchumba tupendane kwa dhati, kwa idhini ya Mungu aniite mume nimuite mke
Vigezo vya nimtakae ni hivi.
1 Awe anaishi dar
2 Asiwe na mtoto.
Dini sibagui
Mimi pia naishi dar
Umri wangu...
Kaka naomba unisaidie mimi ni mama wa mtoto mmoja, mwanaume niliyezaa naye tulishaachana na hata sijui yuko wapi. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni kaka ana miaka 33 yeye hana mtoto na anafanya...
Kuna kitu ambacho sitakielewa hapa duniani basi ni hii tabia ya wanaume kuwaita wapenzi wao au wake zao mama!
Hivi mpenzi wako anaweza kuwa mama yako kweli? Mtu ambae unalala nae uchi na...
Habari wakuu kuna hii kauli nilikuwa nimepita sehemu nikaisikia
Hii kauli ina ujumbe mzito sana na ni ya kipekee kwa watu waliowahi kupitia hali ya kutumiwa au kudharauliwa kutokana na...
Hey wajaa!!
Nimekuta hii story huko FB, kwa kweli nimeishiwa hadi nguvu, inawezekanaje? Watu wanawezaje kufanya haya yote? Ili iweje? Mbona sijioni nikiweza kabisa kuishi kwa style hii?
Kijana...
Mungu ameshauri watu wasioe / kuolewa ili kuepuka matatizo kwenye kitabu chake kinachoitwa biblia
1 Wakorintho 7:27-28 inasema
Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, wala hujatenda dhambi...
Salaam!
Kwangu mimi nimeshindwa kabisa, yaani msichana hata akiwa na uzuri kiasi gani, nisipompenda tu siwezi kusimamisha uume, ila nikimpenda daaah yaani kitu ngangari mwake mwake.
Nirudi...
Dating for most people is something that is starting to get harder by the day, and believe it or not most people that struggle to find dates or meet someone are beautiful people.
People usually...
Habari wakuu.
Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4.
Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na...
Kama huna mtoto mpaka sasa, na hakuna mwanamke aliyekuja kukuomba uzae nae, juwa kuwa mbegu yako si nzuri.
Ata kwenye mashamba, huwa tunachagua mbegu nzuri na kuiotesha, hivyo hivyo na kwenye...
Jamaa mmoja nimuite Marcus. Alinitangulia kuimaliza chuo kikuu nchini Uholanzi akarejea jijini dsm bahati mby hakuwa na makaz jijini kwa kuwa alikuwa akiish mkoa. Basi akaniomba makaz yangu akae...
Wakuu (kinadada) najua imeandikwa sio vema kwa mwanamke au mwanaume kuishi peke yake maisha ya ukiwa ikiwa dunia Inawenza ambao mnaweza kushare kile kidogo mnachopata na kutengeneza paradiso ndogo...
Shalom shalom
Wakuu, hebu tuweke uswazi pembeni leo tuambiane ukweli kama wanaume.
Hili jambo la kugongewa limekua kama janga la kimya – halionekani, halisikiki lakini linatokea kila kona...
Vyovyote mtakavyosema. Tangazo, mtego n.k sijali. Nachojali ni hisia zangu na uhuru wa mawazo kwa mujibu wa Katiba na bila kuvunja Kanuni. Najua na wanaume wenzangu baadhi wataunga mkono wanaweza...
Baba ni baba tu
Baba ni kichwa cha familia, na mama ni shingo katika familia.
Kichwa kazi yake ni kuongoza, na shingo kazi yake ni kuzungusha kichwa kutazama kulia, kushoto, mbele na nyuma...
Mtag member unayemkubali na kutamani uwe karibu nae! Labda kama marafiki,wapenzi au mzee/mzazi wako
Kwa upande wangu napenda kuwa karibu na member hawa
Tate Mkuu
Ponjoro wa Kinondoni
Fanton Mahal...
First, let me declare kwamba mimi ni member wa muda mrefu humu JamiiForums na nimependa kuja nah hii ID mpya ili kuweza kuficha utambulisho wangu wa hapo mwanzo, ili kuepeuka mambo kadhaa kutoka...
Wakuu hii ni research yangu nimefanya.
Hawa wadada wenye umri mkubwa kuanzia 25-40 wamekua vichomi sana kwa sisi wanaume marijali wao muda wote gubu,visirani na watu wenye ujuaji vibaya sana...
Wewe ndio uliemtoa kwao akiwa hana mwelekeo!
Wewe ndio ulinunua kiwanja na kujenga Kwa mbinde na mikopo juu!
Wewe ndio architect wa huo uchumi ambao ye anajivunia sasa!
Lakini nyuma ya pazia...
Miezi ya June hadi September huwa hakuna Vimwana / Totooz kabisa ila miezi ya October hadi December na March hadi May huwa wanakuwepo wengi na hadi wengine wanaweza hata ' Kukukopa ' Mkuyenge na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.