IGWEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Msishangae mada zenye utratra kuzirudisha humu jamvini kwa kasi Kwaresma tumeimaliza salama, so tunajiachia na ya kaisari kidogo kabla Mfungo haujanza.
Waume...
Ndugu wana JF,
KWA KWELI CHA MOTO NIMEKIONA MWAKA HUU. MADEMU NI WAKOROFI TENA NIMEGUNDUA MADEMU WA TZ NI WASHAMBA SANA HAKUNA MFANO. UJANJA WAO NI TZ TU, WAKITOKA NJE YA TZ NI WASHAMBA. WANA...
Kwa wale wakazi wa jiji tulivu la mwanza, kwa nguvu za mwenyezi mungu leo tumepata kinvua cha asubuhi ambayo kwangu kimekuwa shubiri kwa yaliyonikuta sababu ya baridi ambayo mpaka naandika uzi...
Mimi nina kila aina ya sifa ambayo hakuna mwanamke anaipenda muhuni, mkorofi, mgomvi nisiejali na nyingine mbaya tuu nauliza hivi kuna mwanamke wa aina hiyo au asie wa aina hiyo angependa nimuoe...
Ndugu wana JamiiForums.
Aliyekuwa mpenzi wangu ambaye ana miezi kadhaa tangu apate ujauzito. Na ananisingizia mimi eti huo ujauzito ni wa kwangu, sasa nimekubali tu kwa shingo upande mpaka...
Habari zenu wana JF,
Jana tu nilitoa uzi kuhusu kutaka kuhairisha ndoa kutokana na wanawake wawili, ambao wametokea kuonesha kunijali sana.
Leo nimekutana na makubwa mpaka nimepigwa na butwaa...
1. Mke sherehe (Party wife)
Wake wa aina hii wako mguu na njia kila siku na wanajuana na kila mtu. Wao kila siku wana sherehe, leo sendoff, kesho kichen party, keshokutwa bag party mtondogoo...
Leo kwa nimeshangazwa na rafiki yangu wa kike wa muda kidogo na tumekuwa tukionana kwa mara kwa mara mahali pangu pa kazi
Jana kaja mahali pangu pa kazi na nikamfanyia kazi yake iliomleta ila...
Habari wakuu; kama hujabahatika kukutana na somo hili hebu tiririka hapa chini.
Tofauti kati ya Mahusiano na Ndoa.
Katika darasa la Saikolojia, mwanafunzi alimuuliza professor nini maana ya...
Habari zenu wakuu,hivi wanawake kuwa na mikono kama ya baunsa ni ugonjwa au nn?maana utafiti nilioufanya inaonyesha hawaziliwi na hali hiyo sijui hata inasabibishwa na nn tafadhali niambieni na...
Wanawake mwogopeni Mungu. Wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo, yamenikuta haya leo.
Ikabid tuu twende marrrybrown, pizza hut na beach. Single mother kanisahau, yeye ni kucheza na mwanae tuu mi...
Wadau tupieni mawazo yenu thread hii hapa,
Hivi kuna tofauti zipi kitabia na maadili kati ya mtoto aliyelelewa na baba pekee na aliyelelewa na mama pekee (raised by a single parent).
Katika kukua kwangu sijawahi kutumia hii kitu mpaka nakua,leo ndo nimeona nijaribu kwakweli nimepata raha sana ambayo hata mwanamke yeyote hawezi kukupa na haina gharama kabisaa kwa shilingi 1000...
Habari wakuu, bila kuchelewa niende kwenye tatizo ninalopata.
Nina mpenzi wangu, tuna mwaka na nusu kwenye uhusiano wetu. Tumekutana katika chuo kikubwa jiji la mtoto wa kolomije, wote tukiongeza...
Moja kwa moja kwenye mada..
Jamaa ameoa na ana watoto watatu, ndoa yake yaweza pata miaka 10 kwasasa, ila jamaa kiukweli sio mtulivu katika ndoa yake kabisa. Katika harakati zake za kupiga...
Huwa nasikia watu wanafanya mapenzi kwa njia ya simu, je umewahi kujaribu njia hii na ukafika on the peak...?
Na wanawake pia huwa mnafika kule kwa njia ya simu tu kweli?
Matayarisho yake...
Habari za jioni jamani kuna tania moja kwa baadhi ya wanaume hii tania inashangaza na hata ukijaribu kutafuta maana yake hupati.
Ni hivi unakuta mwanaume mmeshaachana kitambo tu kila mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.