wahenga wenzangu habari.
naomba kuuliza kama kuna umuhimu Wa kutoa mahali ili kuoa.
- nisipotoa nitapata hasara gani?
-sheria inasemaje?
-nitapata hasara gani?
Ni bora tu ningeanza mapenzi hata tangu zamani, nimemkosea nini Mungu (ni huo uzinzi nilofanya nikabeba mimba?) Nakosa suluhisho hili jambo linaniumiza sana moyoni japo wanaoniona nacheka hawawezi...
Jamani muda mrefu nina hamu ya kujaribu kunywa pombe ila naogopa reaction yake isije nitia aibu nikaja fanya mambo ya ovyo.
Naonaga tu watu wanywa wachanganya na maji, sitaki shirikisha watu...
Wakuu,
Wanaume wengi siyo nadhafi kabisa, yaani hawajui kuoga, kupiga mswaki na hata tu kupaka mafuta vizuri, hasa wale wa mijini ambao hudiliki kusema "wako bussy na mishemishe mjini. Hasa ambao...
Yaani huyu shemeji ana visa huyu. Baada ya kufumania na akajua nimejua, ana wasiwasi sana kaamua kuniita eti tukutane hotel anambie nikasema hapa hapa nambie, akasema "Ninayotaka kukwambia...
1. Unayevaa mawigi
2. Unayevaa hereni puani
3. Unayevaa hereni zaidi ya mbili kwenye sikio moja
4. Unayekunywa pombe
5. Mpenda pesa
6. Unayeomba mpaka pesa ya pedi wakati hutaki...
Wamalwa Nyongesa mkazi wa Kitale Trans-Zoia Kenya amesemaalikuwa na kesi ya talaka na mkewe mahakamani na mke huyo akapanga kumuua na kutupa mwili wake msituni Jumapili iliyopita
Anasema mmoja ya...
Habari za jioni wana MMU,
Nafurahi kwa nafasi hii adimu kuleta thread kwa mara ya kwanza MMU na ya 3 JF, sasa twendelee na mada,
Hivi nyie kina dada huwa mnawapenda kweli waume zenu au mnapenda...
Msitufokee mbele za marafiki, inawezekana unamlea mwanaume umsitiri basi kama unataka kudumu naye, mimi ukinifokea naenda kununua kamba dukani, nafunga kwenye mti halafu naanika nguo.
Katika pitapita zangu nilikutana na mdada ambae kiumri ni mtu mzima lakini katika kupiga piga nae story aliniambia umri wake kwa sasa ni miaka 45 lakini hadi sasa HAJAOLEWA lakini pia kwa umri...
Nimepost kuhusu kutafuta mchumba ambaye awe mke,lakn wengi wanaojitokeza wanataka urafiki tu.Mimi ni mtu mzima sitaki ma girl frnd ila nataka mchumba mwenye nia na utayari wa kuwa mke na kufanya...
Ndio hivyo jiulize uwezo wako wa kwenye faraga ukoje je unamridhisha au humridhishi
Kipimo cha kujua haya yote kwa mwanaume na mwanamke ni usaliti
Ukiona unasalitiwa mara kwa mara na mwenza wako...
Habari za muda huu wa ndugu,
Kuna suala linanitatiza kidogo nahitaji ufafanuzi na kama hiki kimewahi kumtokea mtu mwingine humu ndani. Mimi ni mjasiriamali, kama vijana wengi tulivyo kuwa na...
Bwana Yesu apewe sifa habari za usiku,
Tukianza na mada kilichonileta hapa kuna dada nimetokea kumpenda sana kwa kipindi cha miaka mitatu sasa3 sasa mimi ni kijana niliyelelewa kwenye misingi ya...
Nimekuja mkoani kikazi kiukweli katika ofisi niliopo kuna kijana alinivutia na yeye alionyesha hisia juu yangu hadi nikawa namwona nahisi kuloa chini. Uzalendo ulinishinda tukakuta tumeanza...
Natamani kuoa lakini mwanamke ninayemtaka yupo humu humu MMU lakini tatizo lake kubwa anapenda sana pesa, halafu muda wote yupo mtandaoni, je nikimuoa atanifaa?
Wadau naomba ushauri wenu
"Hakuna mwanamke mrahisi na hakuna mwanaume mjinga", mwanamke uliyekuwa ukimfatilia miezi 12 bila mafanikio ya kumpata,amelala na mwanaume mwingine baada ya kufahamiana nae ndani ya siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.