Kwanini wanawake wanene wanapenda sana kufanya mapenzi?

Kwanini wanawake wanene wanapenda sana kufanya mapenzi?

Siyo kweli. Tumesuluhisha kesi nyingi za wanawake wanene wanaolalamikiwa kuwa wanawanyima waume zao unyumba. Asilimia kubwa ya hizo waume zao wamekiri kuwa wake zao hao ni waaminifu, hawana mahusiano nje ya ndoa, lakini hawapendi kufanya tendo la ndoa.
 
Back
Top Bottom