Ananiambia anataka

zinc

JF-Expert Member
May 24, 2013
1,392
2,000
Ndugu wana JamiiForums.

Aliyekuwa mpenzi wangu ambaye ana miezi kadhaa tangu apate ujauzito. Na ananisingizia mimi eti huo ujauzito ni wa kwangu, sasa nimekubali tu kwa shingo upande mpaka atakapo jifungua ili ukweli ujulikane. Ila amekuwa akinisumbua eti anahitaji d.u.d.u langu, mimi nimekuwa nikikataa kwa sababu zangu mwenyewe.

Wadau kweli nimeamini wanawake ni wasumbufu balaa, I'm tired with this guy.
 

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
3,233
2,000
Ndugu wana JF,
Aliyekuwa mpenzi wangu ambaye ana miezi kadhaa tangu apate ujauzito. Na ananisingizia mimi eti huo ujauzito ni wa kwangu, sasa nimekubali tu kwa shingo upande mpaka atakapo jifungua ili ukweli ujulikane. Ila amekuwa akinisumbua eti anahitaji d.u.d.u langu, mi nimekuwa nikikataa kwa sababu zangu mwenyewe.

Wadau kweli nimeamini wanawake ni wasumbufu balaa, I'm tired with this guys

Unao wangapi??Mbona mi nimeelewa kama unamzungumzia mtu mmoja.

Unaweza kuandika hivi......''this guy'' au ukaandika hivi ''these guys'' kama unamaanisha wengi!
 

zinc

JF-Expert Member
May 24, 2013
1,392
2,000
Unao wangapi??Mbona mi nimeelewa kama unamzungumzia mtu mmoja.

Unaweza kuandika hivi......''this guy'' au ukaandika hivi ''these guys'' kama unamaanisha wengi!

Ndugu upo vizuri kwenye lugha eeeh
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom