colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,438
- 2,929
Habari zenu wana JF,
Jana tu nilitoa uzi kuhusu kutaka kuhairisha ndoa kutokana na wanawake wawili, ambao wametokea kuonesha kunijali sana.
Leo nimekutana na makubwa mpaka nimepigwa na butwaa ni hivi kuna dada kaja na mumewe kupata huduma za ki afya ninapofanya kazi basi sikuamini jinsi alivyokua ananiangalia usoni yaani all the time hadi nampa maelezo yeye hayupo kabisa ananiangalia tu machoni, hadi anakuja mumewe akaanza kujibabaisha.
Yaani kuna miangalio flani nadhani wakuu mnajua sio ya kawaida yaani hadi nimejisikia vibaya kwa kweli alipokuja mume wake yule mdada, Leo kaja na mumewe ila naamini atakuja tena peke yake next time.
Mbona wanawake hamridhiki na waume wenu na badala yake munatueka katika majaribu sisi wengine. Kumalizia nitakuja hapa hapa kuwapa mrejesho sikua atakayokuja tena ninaimani atarudi as soon as possible.
Sent using Jamii Forums mobile app