Mapenzi kwa simu

Mapenzi kwa simu

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,728
Reaction score
4,181
Huwa nasikia watu wanafanya mapenzi kwa njia ya simu, je umewahi kujaribu njia hii na ukafika on the peak...?
Na wanawake pia huwa mnafika kule kwa njia ya simu tu kweli?
Matayarisho yake yakoje/yalikuaje?

“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”

 
Sasa sjui kwenye simu unaingiamo mnakutana?

Ila ngoja nisubiri wajuvi waje
 
Nimeshafanya sana hii,tena ina raha yake.We mpigie simu akishapokea unamwambia aigusishe kwenye papuchi yake na ww unaigusisha kwny mgegedo wako huku simu ikiwa on air.Basi utasikia mawimbo ya simu yanaanza kukutekenya hadi unamaliza
 
174f845e6281d0665a88fdb027b6f5a8.jpg
 
Nimeshafanya sana hii,tena ina raha yake.We mpigie simu akishapokea unamwambia aigusishe kwenye papuchi yake na ww unaigusisha kwny mgegedo wako huku simu ikiwa on air.Basi utasikia mawimbo ya simu yanaanza kukutekenya hadi unamaliza
aiseee
 
Jamani, hii kitu itupite mbali. Angalieni kilio cha wanaume wengi humu kwenye mitandao, ni upungufu wa nguvu za kiume. Hebu fikiri, kama waweza lambana na mwingine aliye km 1000 kutoka ulipo, na pengine hata kumwona hujawahi kumwona hadi ufikie mshindo, huoni tatizo hapo?? Heri nyeto kwa kweli kuliko hewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom