2014 mapenzi yameniumiza sana, mademu ni wakorofi

2014 mapenzi yameniumiza sana, mademu ni wakorofi

zinc

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
1,391
Reaction score
1,069
Ndugu wana JF,

KWA KWELI CHA MOTO NIMEKIONA MWAKA HUU. MADEMU NI WAKOROFI TENA NIMEGUNDUA MADEMU WA TZ NI WASHAMBA SANA HAKUNA MFANO. UJANJA WAO NI TZ TU, WAKITOKA NJE YA TZ NI WASHAMBA. WANA MITUSI, SIYO WASAFI (HASA WAHAYA), WAJUAJI PASIPO ULAZIMA.

KWELI UJINGA WAO FAHARI YAO.
 
Ni kweli kabisa wahaya kwa matusi sio mchezo , hata mm nakubali. Tena sana sana wakiwa huko nje ya nchi ni shida ... Mfano mzuri ni binti yetu hapo ,
 

Attachments

  • 1419853545541.jpg
    1419853545541.jpg
    40.8 KB · Views: 908
aisee pole kwa hiyo umetukanwa mpaka ukajuta basi watumia wakiwa ndani tu
 
ndege hufananao huruka pamoja ni type yako ndomana unawapata wa aina hiyo pole
 
pole.....inakuwaje mpaka anatukana....? au yeye akikuona tu basi mdomo unajaa matusi ....matokeo yake akiongea anaongea matusi.....ama inakuwaje......
 
Ndugu wana JF,

KWA KWELI CHA MOTO NIMEKIONA MWAKA HUU. MADEMU NI WAKOROFI TENA NIMEGUNDUA MADEMU WA TZ NI WASHAMBA SANA HAKUNA MFANO. UJANJA WAO NI TZ TU, WAKITOKA NJE YA TZ NI WASHAMBA. WANA MITUSI, SIYO WASAFI (HASA WAHAYA), WAJUAJI PASIPO ULAZIMA.

KWELI UJINGA WAO FAHARI YAO.

Pole sana.......na ukorofi utazidi mwakani kwa sababu tumesikia uchumi utayumba..........
 
pole.....inakuwaje mpaka anatukana....? au yeye akikuona tu basi mdomo unajaa matusi ....matokeo yake akiongea anaongea matusi.....ama inakuwaje......

Thanks sister. Girls wapo tofauti sana now days. Matusi yanamtoka mdomoni tena anajiamini. But busara ingetumika, haina haja ya matusi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom