Mapenzi yana wenyewe jamani! Mimi nanawa mikono [emoji119]
Tangu niyajue furaha ni 40% wenge na huzuni 60%. Muda mwingine yananiharibia status yangu kwa watu wangu wa karibu... Nakuwa na hasira...
Habari wakuu,
Nimekuja mkoani Mwanza kikazi na nipo huku kwa wiki ya tano sasa naishi kwenye hotel moja kubwa tu.
Kilichonifanya niandike huu uzi kwenye jukwaa hili pendwa ni kwamba, nimepokea...
Kama mwanaume alikua anakupenda, lakini kwa sababu yoyote ile akakuacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine. Dada yangu acha kujidhalilisha kwa kuendelea kutoka na yule mwanaume, iwe ni kwa kumkomoa...
Nilikuwa na mpenzi aliyenipenda sana. Ila tatizo lake alikuwa anakunywa sana pombe mpaka kufikia kunikera. Asipokunywa pombe siku hiyo atahakikisha anatafuta hata kwa kukopa kwenda kunywa...
Wasalaam wakuu...
Kwa mara nyingine tena nimekuja na mada nyingine tena.
Japo kila mtu ana kasoro zake ila kuna tabia ndogo ndogo ambazo huleta maharibiko kwenye mahusiano na kuufanya uhusiano...
Ni hivi ni mara ya pili nakutana na zali la kukutana na warembo na kuongea na kuzoeana na mwishoni kuombana namba
Ilaa hili la leo ni kosa la pili nimerifanya bila kujijua baada ya kumpa binti...
Jamani nipeni ushauri,
Mpenzi wangu hataki nishike simu yake hivi ni kweli kuna upendo hapo.
Mahusiano yana miezi nane nikichukua simu kwa nguvu ana nuna eti anasema hadi namchunguza simwamini...
Habari wanajamvi,
Nimeishi ya mwanamke kwa miaka mitatu na tuna mtoto mmoja. Ila hajufunga ndoa. Jana nimekuta jumbe za mapenzi za mwanaume akimtumia mpenzi wangu zinazoashiria alikuwa akichepuka...
Habari yako bwana mshana jr
Bwana mshana kutokana na mada mbali mbali za kimani za kidunia umekuwa ukitujuza mambo mengi sana
Sasa kuna hii mpya nimemsikia ya kwamba Kuna baadhi ya wanawake au...
Nitaandika story hii kwa urefu, lakini naomba jikaze uimalize kusoma mpaka mwisho kwani niko katika wakati mgumu sana, najisikia kuua kama sio kujeruhi au vinginevyo.
Nimekuwa nikisikia na...
Kama unajijua umeolewa, umeoa, au upo kwenye mahusiano basi jitahidi uonekane upo hivyo. Kama upo kwenye ndoa basi act kama upo kwenye ndoa na kama unajua umeshachukuliwa basi onekana kweli kama...
* Hupenda kukuona mara kwa mara hata kama hajapata taarifa za ugonjwa.
* Hupenda kukupigia sim mara kwa mara hata kama umelala.
* Hupenda kukuletea vizawadi kila anapotoka safarini.
* Hupenda...
Habari zenyuuu nyotee,
Mahaba yamenidondokea hadi hii chemchem ya huu wimbo umetoka huko ndani ya sanduku la kumbukumbu na umfikie mahabat wa Kasie. ....
Mi nataka kuwa na wewee tuu....
Kuna...
Amani kwenu
Leo nitawapa kipande kidogo cha stori wakati nilipokuwa teja na mungu akijali nitawapa kisa mfululizo ndani ya si chini ya miaka 15 nilipokuwa na mke wa kihindi kabla ya kumtaliki...
Aisee sijui ndio hali ngumu au vipi...kwakifupi wanawake mmejizira miili yenu aisee..inafika kipindi mwanamke unaepishana nae Lazima usikie Harufu ya kwapa au kisusio....au domo kutema kama...
Kichwa cha habari kinajieleza.kwa bongo hakuna kitu Kama hicho.
Hakuna mwanamke wala mwanaume ambae hajachepuka in 10 yrs kwenye ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huwa mnauliza ili mgundue niniii...?? Ww subiri utongozwe Ndo utajua namba nilipata wapi
Yaan adi nyie Single mother watu wazima mnauliza hilo swali..???Serious..!!! Aghaaaaaaaaa mnanikera...
hayo maneno matatu hapo juu huwa nayasikia yanatumika sana, kiukweli huwa naenda na mukmbo tu sababu siyaelewi vizuri.
Jini mahaba ni nini? Na humpata mtu wakati gani? Kwa nini huhusishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.