Mi Nataka Kuwa na Weewee tuu

Mi Nataka Kuwa na Weewee tuu

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Habari zenyuuu nyotee,

Mahaba yamenidondokea hadi hii chemchem ya huu wimbo umetoka huko ndani ya sanduku la kumbukumbu na umfikie mahabat wa Kasie. ....

Mi nataka kuwa na wewee tuu....
Kuna watu wanachonga
Wanasema nimekupa limbwata.....
Watasema watachoka ujue Kasie bado nakupenda. ...

Halafu hako katoto kanakofokafoka hapo mwisho kananikoga hadi naegemea kwenye kochi. .....

Mmuah kwa mahaabaatt

Sioni sisikii.......



Kuna wimbo nimeutafuta
nimeukosa, nakumbuka maneno yake tuu.....

....unirumie rumie... ooh pesa
Nakulilia unipe.. ooh pesa
Unipeleke kwa baba a katu patia mali
Tufunge ooh ndoa ya wotee ... ooh pesa
Ndoa ooh ndoa ya wote ooh pesa
Mapenzi ooh mimi na wewe.....

(Sina hakika kama nimepata maneno ya wimbo ila unaimbwa hivo). Ataeupata naomba aniwekee hapa tafadhali.

Hatimaye nimeupata....


Kasie Mahaba bin hubatt.
 
Hadi wazee nao mpo!
Shikamoo mapenzi!

DJ sepetu
 
Ni Shida asee

Kama hauna mahabat ni shidaa ila kama unae kama mie nilivo na wangu aaah najinafasi na kujimwaya tuu kwa afya yangu....

Kasie mahaba ndo nyota yake.
 
Nakulilia umi ee unipeleke kwa baba akatupatia mali umi ee mimi na wewee [emoji23][emoji23][emoji8][emoji8]naupenda sana huu wimbo kasie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi wazee nao mpo!
Shikamoo mapenzi!

DJ sepetu

Hakuna jipya chini ya jua, yote ni zilipendwa.....
Hata vijana wa leo wakija kuwa wazee bin vigagula kama Kasie hapa watakuwa wanafanya waliokuwa wanayafanya wakati wa ujana wao na vijana wa wakati huo watawashangaa kama unavoshangaa wewe..... hata wazee nao wapo....

Kasie mahaba burudiko na mahabat wake...
 
Hakuna kimya chini ya jua, yote ni zilipendwa.....
Hata vijana wa leo wakija kuwa wazee bin vigagula kama Kasie hapa watakuwa wanafanya waliokuwa wanayafanya wakati wa ujana wao na vijana wa wakati huo watawashangaa kama unavoshangaa wewe..... hata wazee nao wapo....

Kasie mahaba burudiko na mahabat wake...
Sio siri uliruka stage!
Muda huu Wa kukaa Na wajukuu Na kuwapa hadithi za visasili! we unaimba mahaba!

DJ sepetu
 
Nakulilia umi ee unipeleke kwa baba akatupatia mali umi ee mimi na wewee [emoji23][emoji23][emoji8][emoji8]naupenda sana huu wimbo kasie

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie pia na nimeukumbuka sasa nataka nimuimbie mahabat wangu sikumbuki alioimba nani na unaitwaje.

Ila Aleppo hapo juu amenisaidia umeimbwa na Tshala Mwana.....
 
Back
Top Bottom