Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu natumaini wazuma wa afya...nikijikita kwa mada yangu ambayo msaada wangu mkubwa nitaipata kwa hii jinsia yetu pendwa nimekuwa nikipata shida sana ya kuelewa mambo yafuatayo kwa...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Unajua unaweza kuwa na mahusiano na mtu unayempenda sana ila yeye hakupendi kama vile umpendavyo lakini anashindwa kukwambia kuwa "sikupendi". Unawakati mzuri sana wa kumtambua mtu ambaye...
14 Reactions
99 Replies
29K Views
Habar za usiku huu wana MMU Natumai kila mmoja ameanza weekend yake vzur kabisa Mapenzi n nini wanajukwaa? Hivi mpaka Leo bado hayajapata definition?.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Nimefuta content... Matusi yamezidi
5 Reactions
97 Replies
7K Views
habari zenu wadada kuna siku nilizungumzia habari ya vitambi kwa wanaume but wanaume nao wamekuja inbox kuwa hata sisi wanawake tunavitambi, tuwekane chini na sisi tuondoe vitambi tena kwa...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
1. Mwanaume anahitaji mwanamke anaye muheshimu na kumnyenyekea. 2. Mwanaume anamuogopa na kumkwepa mwanamke asiye na heshima. 3. Dawa ya kumshika mwanaume na kummiliki ni kumuheshimu na...
11 Reactions
37 Replies
7K Views
Saikolojia na maisha ,Badili mtazamo! Habari ndg wana JF! Naomba leo tuangalie kwa nini watu wengi tunafanya makosa na hali ya kuwa pengine tuafahamu fika kwamba haya ni makosa na wengine...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wandugu, Hivi sijui ni Mimi ndo nimeona au nanyi mmeshaona hili. Kuna tabia za habari za huku JF watu kuomba ushauri kuhusu jambo lake hasa la kimahusiano ya kimapenzi, halafu baada ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wana JF, Ni dalili gani unazoweza kutambua mwanamke / mwenzi ambae anadai ni mwaminifu huku ukitia shaka anafanya? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
140 Replies
50K Views
Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia sio mbaya kujuliana hali na kutambulisha mambo ya...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Hebu tujuzane wale wanawake ama kina Dada. Pale unapogundua mdogo wako wa kike anatembea kimapenzi na mpenzi au mume wako huwa unajiskia vipi, unajifunza nini? Je hatua gani huwa unaweza...
2 Reactions
122 Replies
8K Views
Wapendwa mu wazima wote? napenda kuadhimisha miaka yangu 3 ya u-single baada ya x wangu nimpendaye kinoumah kaniacha, nikitumaini ipo siku nitampata mmoja mzuri zaidi ya yule wa mwanzo. Pia...
8 Reactions
100 Replies
8K Views
Wakuu, Nipo kwenye ndoa huu mwaka 3, natafuta mtoto sipati. Baada ya mke wangu kukosa hedhi huu mwezi nimeamua kununua kipima mimba,nimechanganyikiwa kuona mstari mmoja. Sipendi michepuko lakini...
2 Reactions
65 Replies
14K Views
Bado najiuliza hivi ni kwanini wanawake hamuwezi kutunziana siri ?..Urafiki wenu ni wa mashaka sana yani hamnaga kifua cha kutunziana mabaya na mazuri ya rafik zenu..why? Binafsi nimeshuudia pale...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Kipindi nasoma sekondari tulikuwa na kijimsemo kuwa TIME IS MAKANGABILITY tukimanisha muda haupo upande wetu yaani tumechelewa. Naomba nitoe onyo kwa akina dada hasa wasomi ambao ndiyo huwa...
63 Reactions
451 Replies
41K Views
Shangee, Jamani kina baba nakuusieni wakati mnapotafuta wenza wa kuwaoa uzuri usiwe kigezo cha kuona kua mwanamke huyo atakupa faraja. Wanawake wote ni pasua kichwa ukimchagua kwa uzuri wake...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
Mie ni Mzee wa miaka 40 nimeoa na kuacha mara mbili kutokana na kuto-match. Nimekaa singo miaka miwili sasa bila mwenza. Nimechoka kujipikia, kufua na kupiga pasi. Nahtaji mwenza kuanzia miaka...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Ntaanza na mie mleta mada,wapo wengi walofanikiwa kunisomesha namba tena zile za kirumi,but wachache niwakumbukao ni hawa. 1.Alice 2.Anna 3.Irene 4.Sandra Na nyie wakuu tajeni hapa majina ya...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Sijui kwanini me sipendi warembo wanene,yani akipita kimbaumbau utaona mijicho inavyonitoka. Sijui ile wanaita misambwanda na mimi vitu viwili tofauti,siwezi kupoteza mda wangu kugeuka nyuma...
7 Reactions
152 Replies
31K Views
Jamani nimegundua kama ladha ya papuchi ingekuwa moja kwa wanawake wote swala la kuchepuka lisingekuwepo,lakini kwa hali ilivyo sasa, vijana kusimuliana vijiweni utamu wa papuchi alizokutana nazo...
17 Reactions
294 Replies
27K Views
Back
Top Bottom