Ananitishia kuniua baada ya kumuomba mchezo

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,663
Habari wakuu,

Nimekuja mkoani Mwanza kikazi na nipo huku kwa wiki ya tano sasa naishi kwenye hotel moja kubwa tu.

Kilichonifanya niandike huu uzi kwenye jukwaa hili pendwa ni kwamba, nimepokea kitisho cha kuuawa kutoka kwa binti mmoja hivi mrembo baada ya kumuomba mchezo siku ya juzi.

Story yenyewe ipo hivi. Baada ya kuja Ngoshaz City na kukaa kama wiki moja nikajikuta kabisa ashki ya kupata gegedo imenikumba na vile shemeji yenu yupo mbali sana nikaona ni bora nisake papuchi hapa hapa hotelini.

Kweli bana kuna ka binti hapa reception kwa kweli kamejaaaliwa kweli kweli. Nikaona niingize vocal mbili tatu na kakanielewa haraka tu.

Sasa hiyo juzi nikamueleza nia yangu na jibu alilonipa ndo hilo. Eti ntakufa. Katika kumdodosa tena na tena, akaanza kuniambia eti ye fundi sana kiasi kwamba akinipa vituz naweza pagawa na kufa.

Binafsi kauli ile imenivunja nguvu sana na hata leo ndo ilikuwa siku yenyewe ya kufa.. Ila nimeamua kuahirisha kabisa ki date.

Ombi: ila nyie wanawake kwanini mnatufanyia hivi lakini? Kwani huwezi tu kukubali kugegedwa mpaka uanze kumtisha mwenzako.. Ooh Naantombe ujue ntakuua.. Kibao kata unakijua wewe.. Ooh mara ntakusimamisha kwa ukucha..

Maneno mengi tu ya kunitisha. Meamua kumpotezea.. Goddamn i dont like uncertainties..

Ndo nimempotezea hivo..
 
Anamaanisha kuwa makini yeye ni level nyingine either ni fundi sana kunako six kwa six au ana bwana hatari akijua mchezo wenu hutaiona buzuruga stand,nyegezi stand au ilemela airport be careful sana
 
Majini mengine yanakuambia ukimbie, wewe unalazimisha. Shauri yako, usije kurudi humu kuomba ushauri wa yatakayokukuta na kukuharibikia maishani mwako.

Maneno mengine usichukulie utani, ungekuwa kwenye anayotaka kupata au kukamilisha angeshakutenda. Haumfai kwa nia zake, kaa mbali.
 
Anamaanisha kuwa makini yeye ni level nyingine either ni fundi sana kunako six kwa six au ana bwana hatari akijua mchezo wenu hutaiona buzuruga stand,nyegezi stand au ilemela airport be careful sana
Hata hivo nimemshit.. Mwanamke akishakuwa mjanja mjanja sana ananipa uoga.. Amenifanya nifikiri mambo mengine kabisa..
 
Back
Top Bottom