Habari za wakati huu wakubwa.
Natanguliza pole zangu kwa wale mliokumbwa na ridandansi mubashara toka chamwino na ambao majina yenu yatachapishwa kuanzia kesho magazetini kwa kugushi vyeti na...
Ukimuona mwanamke anasema siku hizi hakuna wanaume waoaji, ujue huyo anataka pesa hana shida na ndoa, wewe wanaume wapo kibao wanaotaka kuoa wengine wanataka kuoa hadi wake wa nne.
Ukimuona...
Ikitokea mwanamke(siyo mke) wa rafiki yako anakupenda na anasema anatamani kufanya mapenzi na wewe utafanyaje, maana hapa nipo dilemma kuna siku tumewahi kufikia mpaka kulana mate ndani ya gari .
Shamsa na Shabani ni wanandoa ambao wamekuwa katika ndoa kwa miaka isiyopungua 15. Wanasimulia kuwa walianza uhusiano wao wakiwa wapo chuo wakiwa wametokea mikoani mwao. Wakaendelea na uhusiano na...
Wana JF,
Nimeolewa na mume wangu kwa ndoa ya kitamaduni toka mwaka 2002 na tumejaliwa watoto wawili wote wa kike (kwa sasa ni wakubwa tu) kila nikimuomba mume wangu tuongeze baby wa mwisho...
Salaam wa MMU
Kuna kauli nimeambiwa na mzazi mwenzangu imenifanya niwaze Mara 2 2
Okey ngoja niende kwenye point
Mimi naishi mbali na mzazi mwenzangu japo mikoa ni ya karibu karibu. Mimi napiga...
Wakuu,
Mimi huwa nachukuia sana tukiwa bed unakuta mwanamke ashavua chupi mwenyewe naweza hata kuacha kuendelea na tendo. Huwa napata mzuka nikimvua mwanamke chupi mwenyewe yaani hapo dah full...
Habari wakuu.
Nimekua nikiona watu wa karibu naowafaham na wengine kuwasikia tu wanakua kwenye mahusiano na wanawake waliozaa tayari lakini sikua nawachukulia serious kivile lakini hivi sasa...
Ni sura?
Makalio?
Umbo?
Au ninini? Maana hivyo vyote sijaona kazi yake kwenye kufanya mapenzi baada ya kutamani kwenye kufanya uwa ni kulekule
Wanaume tuna nini jamani? Au tumelaaniwa.
Sent...
Nianze kwa kuwapa pole kwa tukio lilitokea leo,mhe. Tindu Lisu kupigwa risasi,hakika namuombea apone haraka.
Niende kwenye mada,leo nimewiwa kuongelea hili suala la utegemezi kwa wanawake wa siku...
Jamani wanajamii.. ni kero ya kelele na matusi ya nguoni toka kwa walevi nyumba ya jirani wanauza pombe za kienyeji na gongo. Si mchana si ucku ni kero ya kelele na matusi sana.. yaani siku...
Habari za mida wakuu nimejitokeza apa mimi ni kijana mdogo age 22yrs niko na mpenzi wangu yeye umri wake ni 23yrs na for real nampenda sana nae naamini ananipenda sana.
SHIDA inakuja apo kwenye...
Dar es Salaam.
Mwanasiasa mkongwe na mwanaharakati wa zamani wa haki za wanawake na watoto, Balozi Getrude Mongella amesema vitendo vya ubakaji, ulawiti na mimba za utotoni zinaongezeka kwa...
Wanaume mnasahau kua maandiko yanasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaune kazi yake ni kuhangaika kumtafutia mwanamke.
Hii milio ya Nokia imezidi kwa wanaume wa Leo kiukweli unakuta mwanaume...
Habari wana MMU,
Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo...
Heshima kwenu, nimekuwa nikitafuta njia ya kupunguza kdg unene wa dushe bila mafanikio, baada ya ku google nimegundua kuna mikanda inauzwa kwaajili ya kupunguza unene, sijajua imetengenezwa kwa...
1. Mapokezi Mazuri
Baada ya kurudi kutoka kazin, safarini, au popote pale palipowatenganisheni:
* Anza kwa maamkizi mazuri
* Anza kwa Assalaamu 'Alaykum na tabasamu.
*Salaam ni Sunnah na ni duaa...
Mahusiano mengi ya mapenzi siku hizi,yamekuwa ni ya maigizo(Drama)sana kuna baadhi ya watu wanakuwa katika mahusiano na watu flani kwa sababu ya "show off" na kuwa "impress" watu wengine,unakuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.