baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,487
- 2,263
Ni hivi ni mara ya pili nakutana na zali la kukutana na warembo na kuongea na kuzoeana na mwishoni kuombana namba
Ilaa hili la leo ni kosa la pili nimerifanya bila kujijua baada ya kumpa binti namba yangu na kumwambia ani-beep akanambia hana salio atani-beep na alikuwa na haraka sanaa hivyo muda wa kuchukua tena namba yake ulikuwa hamna hivyo namsubiri anitafute kwa huruma yake.
Lakini hili ni kosa kubwa kwani wa mwanzo pia alisema hivi mpaka leo nina miezi 3 kimyaa hajanitafuta. Ushauri kwa wanaume wezangu msifanye kosa hili sababu ni mara chache kutafutwa na msichana hivyo utabaki ukiumia tuu kuwa utampata wapi tena na hujui anaishi wapi mmekutana tu by chance
Sent using Jamii Forums mobile app