Habari wanajamvi,
Nimeishi ya mwanamke kwa miaka mitatu na tuna mtoto mmoja. Ila hajufunga ndoa. Jana nimekuta jumbe za mapenzi za mwanaume akimtumia mpenzi wangu zinazoashiria alikuwa akichepuka naye. Jumbe hizo zilikuwa zinamsifu jinsi walivyokutana wakafanya.
Lengo la kuomba msaada wenu ni baada ya kumwambia aenda kwao tukayaongee huko ila kakataa katukatu, na kusema haenda tena kwa hasira.
Kiukweli hamu na yeye imeisha! Naombeni ushauri wenu!
Sent using Jamii Forums mobile app