Siwezi kumsahau mama mkwe...

Siwezi kumsahau mama mkwe...

The Donchop

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
294
Reaction score
381
Nilikuwa na mpenzi aliyenipenda sana. Ila tatizo lake alikuwa anakunywa sana pombe mpaka kufikia kunikera. Asipokunywa pombe siku hiyo atahakikisha anatafuta hata kwa kukopa kwenda kunywa.
Nilizoeana na familia yake hasa mama yake ingawa wao walihisi tunamahusiano ila mimi nilizoea kuwaambia ni marafiki tu.
Siku ya tukio mwenzangu alinikera kweli hata mama mkwe alijua hilo. Alikaa nami chini na kunihoji. Of course nilikuwa na hasira na niliwaza sana nimfanyeje ili ajue kuwa nimekasirika. Nikamwambia mama mkwe " sasa atakuwa sehemu anakunywa, sijui nimfate huko huko...
Cha ajabu yule mama alichukua hayo na kugeuza. Akamwambia mwanae " chunga mwenzako anataka kukuua" aisee sina hamu na huyu mama, ingawa anakuja kila siku kuniona na nikiumwa ananihangaikia sana lakini uhusiano kati yangu na mwanae umekuwa mbaya sana. Leo tunapatana kesho tunaachana. Yan ni watu tunaopendana sana lakini tuna vitu vingi sana mioyoni vinatusumbua moja wapo ikiwa ni huyu mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muue[emoji35] [emoji35]
 
Muombee kwa Mungu amwokee una ulev4!
db19c48fe0e24987d3ca29620d022fca--love-is-patient-favorite-bible-verses.jpg
 
~~>>>Wanawake mnakuwa na akili za kunguru pale mnapojisigeza ktk familia zetu kabla ya ndoa.... Mkifikiri ndio njia sahihi ya kuharakisha ndoa.
 
kua mlevi kupindukia ni tatizo kubwa sana...tafuta namna ya kupata msaada wa kitalaam kudhibiti hio hamu yake ya pombe vinginevyo umekalia bomu muda wote itaku ni stres
 
Matatizo mtu mkevi anakuwa kwenye relationship na pombe wewe unakuwa 2nd best
tena unaposoma yupo tayari kwenda kunywa hata kama yeye hayupo ndio ujue ukubwa wa tatizo....haya machozi ya simba ni addictive na madhala yake ni makubwa sana...
 
Maisha mengine ni afadhali ukatafuta maisha yanayokupa amani sasa huyo mlevi anaparamia mangapi huko ndoa jamani mmmmmm ni kwa neema tu si vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom