Kuwa na mahusiano na mwanamke aliezaa..

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,313
12,123
Habari wakuu.
Nimekua nikiona watu wa karibu naowafaham na wengine kuwasikia tu wanakua kwenye mahusiano na wanawake waliozaa tayari lakini sikua nawachukulia serious kivile lakini hivi sasa naamini ukitaka kaa kwenye mahusiano yaliyo na amani basi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye tayari kazaa..

Nimekua na mahusiano na wanawake kadhaa huko nyuma lakini wote kwa njia moja ama nyingine hawakuwa vile nilivotarajia, kuna baadhi walikua na akili za kitoto kutofikiria future zao, wengine hawakua wametulia kwenye mahusiano n.k

Lakini mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja ambaye kweli mrembo lakini nilikuja gundua ana mtoto ingawa nilifikiria vunja mahusiano kwa kuamin hatanifaa ila nikaamua jipa moyo kuendelea nae.

Mpaka hivi sasa nafurahia mahusiano yetu na zaidi ya viugomvi vya kawaida kwenye mahusiano, naweza kumtambulisha hata kwa marafiki zangu, ingawa hunishangaa kuwa na mahusiano na mwanamke aliezalishwa kwingine!..

ushauri wangu wanawake waliozaa ni wazuri zaidi kuwa nao kwenye mahusiano.
 
Babu yangu mzee senkondo aliwahi kuniambia kuwa; "kilichotumika pwani ukikipeleka bara ni kipya"
Hakika naanza kumuelewa sasa.
 
Editing tu asee, kuna walioiba hii avatar wakajifanya ni mimi kumbe sio, watu wanadhani nimefungua ID nyingine kumbe hapana ndio maana nimeweka hii tofauti
wambie mods wakurudishie, kuna jamaa anajiita culliculum ndo kaiiba
 
Habari wakuu.
Nimekua nikiona watu wa karibu naowafaham na wengine kuwasikia tu wanakua kwenye mahusiano na wanawake waliozaa tayari lakini sikua nawachukulia serious kivile lakini hivi sasa naamini ukitaka kaa kwenye mahusiano yaliyo na amani basi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye tayari kazaa..

Nimekua na mahusiano na wanawake kadhaa huko nyuma lakini wote kwa njia moja ama nyingine hawakuwa vile nilivotarajia, kuna baadhi walikua na akili za kitoto kutofikiria future zao, wengine hawakua wametulia kwenye mahusiano n.k

Lakini mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja ambaye kweli mrembo lakini nilikuja gundua ana mtoto ingawa nilifikiria vunja mahusiano kwa kuamin hatanifaa ila nikaamua jipa moyo kuendelea nae.

Mpaka hivi sasa nafurahia mahusiano yetu na zaidi ya viugomvi vya kawaida kwenye mahusiano, naweza kumtambulisha hata kwa marafiki zangu, ingawa hunishangaa kuwa na mahusiano na mwanamke aliezalishwa kwingine!..

ushauri wangu wanawake waliozaa ni wazuri zaidi kuwa nao kwenye mahusiano.
Kwa uzoefu wako hadi sasa unafikiri ni kwa nini wanakuwa na tabia hiyo kwenye mahusiano baada ya kuwa wameshazaa?
 
wambie mods wakurudishie, kuna jamaa anajiita culliculum ndo kaiiba
Yeah sio huyo yuko na KE mwingine anaitwa PRINCESS ANNE... Hiyo avatar og sio kwamba sina..ninayo..nimeamua kuweka hii kujitofautisha nayo mpaka hapo watakapojishtukia wabadilishe
 
Kwa uzoefu wako hadi sasa unafikiri ni kwa nini wanakuwa na tabia hiyo kwenye mahusiano baada ya kuwa wameshazaa?
Nazani akili ya kujiona amekua mkubwa anatakiwa jua kesho yake na maendeleo ya mtoto wake!...
 
Back
Top Bottom