Jamani naomba ushauri ni makelele toka nyumba ya jirani hadi usiku wa manane

diet

Member
Aug 1, 2012
56
8
Jamani wanajamii.. ni kero ya kelele na matusi ya nguoni toka kwa walevi nyumba ya jirani wanauza pombe za kienyeji na gongo. Si mchana si ucku ni kero ya kelele na matusi sana.. yaani siku nyongine wanakesha kbs... nifanyeje jamani... naomba ushauri. Niko dar.
 
moja: cant u do some ass kicking ??
Pili: police post hupajui?
Tatu:kama hizo options mbili umeshindwa hama nyumba
 
Sheria zipo wazi nenda kwa mjumbe wanyumba kumi mueleze akishindwa nenda serekali ya mtaa wakishindwa nenda mahakama ya wilaya wakishindwa nenda mahakama kuu wakishindwa nenda ikulu wakishindwa nenda UN wakishindwa basi jinyonge
 
Mkuu mbona tatizo lako ni dogo!!! Nenda Polisi ukaripoti, usiwe na mashaka yoyote yale hakuna atakayejua. Ikishindikana kwa Polisi hapo mtaani kwenu basi njoo tena hapa Jf tukupe wazo lingine.
 
dawa ya moto ni moto na wewe piga kelele tu usiku kucha , jamaaani eeeeh wahamiaji haramuuuuu!!!!!, utaona kama kutakuwa na kelele tena
 
  • Ndugu diet hiki ndicho unapaswa kufanya. Zipo sheria za serikali zamtaa ku deal na tatizo kama hili. Chukua hatua.
Sheria zipo wazi nenda kwa mjumbe wanyumba kumi mueleze akishindwa nenda serekali ya mtaa wakishindwa nenda mahakama ya wilaya wakishindwa nenda mahakama kuu wakishindwa nenda ikulu wakishindwa nenda UN wakishindwa basi jinyonge
 
Last edited by a moderator:
moja: cant u do some ass kicking ??
Pili: police post hupajui?
Tatu:kama hizo options mbili umeshindwa hama nyumba
Na akishindwa yote hayo, basi akeshe anagegeda maana atakuwa hasikii kitu zaidi ya miguni migegedo yao
 
Sheria zipo wazi nenda kwa mjumbe wanyumba kumi mueleze akishindwa nenda serekali ya mtaa wakishindwa nenda mahakama ya wilaya wakishindwa nenda mahakama kuu wakishindwa nenda ikulu wakishindwa nenda UN wakishindwa basi jinyonge

ivi mjumbe wa nyumba kumi yupo kisheria?
 
ivi mjumbe wa nyumba kumi yupo kisheria?
Swali zuri sana. Kwenye mazingira ya vyama vingi hawatakiwi kutambulika maana wae ni wa CCM. Cha ajabu ukienda serikali za mitaa kutaka barua ya utambulisho utasikia wanakwambia nenda kwa mjube akupe barua. Au hata wakati wa kujiandikisha kwenye kadi za kupigia kura, mjube alihusishwa, sasa sijui ni kwa nini...

Rasimu ya sasa inawataja hawa wajumbe..??
 
Ishi maisha upendavyo! Kama umepanga hama, ila kama umejenga wafanye polisi wakose usingizi kwa kuwaleta hapo kila siku mpaka hali ya utulivu irejee. Wanafanya kupiga makelele na kutamka matusi kwa kuwa wanajua majirani watamezea tu.

CHANGE NI WEWE!
 
Jamani wanajamii.. ni kero ya kelele na matusi ya nguoni toka kwa walevi nyumba ya jirani wanauza pombe za kienyeji na gongo. Si mchana si ucku ni kero ya kelele na matusi sana.. yaani siku nyongine wanakesha kbs... nifanyeje jamani... naomba
ushauri. Niko dar.

We unaona ufanye nini!
Kama hujui cha kufanya kwenye jambo dogo sana kama hili, unaishije!!!!!!
Hama eneo hilo. Wenzio hayo matusi mazito ya ngioni ndio sherehe na shangwe kwao!
 
kama unakaa uswahilini vumilia kama wananchi wa Kipawa na Majumba 6 walivozoea ngurumo za ndege.
 
That z nuisance, tort. Waweza shtaki. Lkn njia ya mkato ni kuwafanyia timbwili la kimjini mjini, wape polisi dili na ka takrima juu, wakifika hapo kma mara 3 hv kuwaharibia basi ni lazma wahame, gongo ni haramu.
 
Sheria zipo wazi nenda kwa mjumbe wanyumba kumi mueleze akishindwa nenda serekali ya mtaa wakishindwa nenda mahakama ya wilaya wakishindwa nenda mahakama kuu wakishindwa nenda ikulu wakishindwa nenda UN wakishindwa basi jinyonge

Mitaa kama hiyo usije kuta mwenye klabu ya pombe za kienyeji ndiyo Mjumbe wa nyumba kumi
 
Mengine kweli maana mimi mjumbe wangu ni mwislamu lakini nje ya dirisha lake pana jiko la kiti moto sijawahi sikia akilalamika sijui analipwa nini
 
Asanteni. Nitaenda kituo cha police. Maana nikienda kwa hawa wa mtaa cjui mjumbe mwisho atanitaja nitaonekana mbaya
 
Back
Top Bottom