Wasiotaka ndoa wanajulikana kirahisi tu

Wasiotaka ndoa wanajulikana kirahisi tu

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Ukimuona mwanamke anasema siku hizi hakuna wanaume waoaji, ujue huyo anataka pesa hana shida na ndoa, wewe wanaume wapo kibao wanaotaka kuoa wengine wanataka kuoa hadi wake wa nne.

Ukimuona mwanaume anasema siku hizi hakuna wanawake wenye sifa za kuolewa, ujue huyo hana shida na ndoa anataka kulelewa na wanawake.

Wanawake wapo kibao wanataka kuolewa wengine wajane, kama hutaki ndoa unasema tu kuwa umeamua kuishi hivyo mbona mapadri na masister wanaishi tu, usiwazingizie watu kuwa hawapo wanaotaka ndoa.

Jiwe gizani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_20170911_17_50_49_Saved_Picture.jpg
FB_20170911_17_50_49_Saved_Picture.jpg
 
mimi nimeweka bango kwamba nataka mke kule jukwaa la new members ila hata ka private Message sijaona.hata kameseji kalikopotea njia sijacheki.sijui wanawake chuki ni ya nini.kisa kwamba sina hela kihivyo ndio manake mnanikataa?wacha nizidi kusubiri.najua siku moja itanijia siku njema.nipate hayo mapesa na mali ya kutosha.ila kama mtazidi kunikataa kwa sababu sina hata nikipata mzidi hivyohivyo
 
Back
Top Bottom