Habari wajuvi...
Kuna mtu kaniomba ushauri nmeshindwa kumsaidia imebidi nililete hili swala humu kwenye muunganiko wa watu wa aina mbalimbali ili tuweze kumsaidia.
Yeye ni msichana amepanga chumba lakini kutokana na hali mbaya ya kiuchumi ya boyfriend wake imebidi amruhusu waishi pamoja mpaka atakapojiweza maana hana sehemu ya kuishi. Uyo boyfriend wake wana zaidi ya miaka mi5 kwenye mahusiano na hivi kati alipata matatizo nyumbani hivyo akaenda kwao na kukaa kwa miezi kama miwili.
Aliporudi hapo kwake maisha yakaendeleana boyfriend wake kama kawaida.
Sasa wiki ilopita aliamua kufanya usafi wa nyumba nzima ndipo katika kunyanyua godoro chini ya kitanda akakuta vitu visivyoeleweka.
Kwanza alikuta nguo ya uyo boyfriend wake katika kuisearch akakuta bahasha ambayo ndani yake ilikuwa na vikaratasi vinne vilivyofungwa dawa katika ivyo vikaratasi:
Kimoja kiliandikwa juu neno KUFUKIZA na ndani ilikuwa na vitu kama Unga wa binzari
Kingine kiliandikwa juu KUCHOMA ndani kilikuwa na mizizi iliyokauka
Vingine viliandikwa KUCHANGANYA NA MAJI ndani kulikuwa na unga km wa pilau
Kingine amesahau kiliandikwaje.
Sasa anataka kujua maana yake kama ni limbwata au ni dawa zake mwenyewe maana uyo boyfriend wake anasumbuliwa na vidonda vya tumbo sasa kabla ya kumuuliza anataka kujua izo dawa zinahusiana na vidonda vya tumbo au ni uchawi?
cc mshana jr